Kuna tofauti barua ya kazi ikiandikwa kwa mkono au kuchapwa na mashine?

Mkimbizi99

Member
Jul 18, 2020
66
62
Habari wapendwa, nauliza hivi kuna tofauti gani ya kutuma barua ya maombi ya kazi iliyoandikwa kwa mkono na iliyochapishwa kwa mashine?

Na je, ni kweli kuwa barua iliyoandikwa kwa mkono ndio inapewa kipaumbele kuliko iliyochapishwa?
 
Its depend na mhusika anatakaje. Kwa mi naona typing ni better kuliko mkono. Manake mkono unaweza andika mwandiko, au herufi zingine ambazo msomaji akashindwa kuzirecognize kwa uharaka, so inaweka kipingamizi.

Ila kuna taasisi/sehemu zingine, wanahitaji barua iliyoandikwa kwa mkono. Mfano mzuri tunaona TANROADS, Mahakama na sehemu zingine binafsi.
 
Kama moja ya sifa ya kazi ni kujua kusoma na kuandika vizuri barua lazima iandikwe kwa mkono na mara nyingi hua ni kazi za madaraja ya chini hofu ni kuwa wanaweza recruit mtu ata asiyejua kusoma na kuandika,

Kwa kazi zinazohitaji sifa kubwa kama degree masters na kuendelea barua lazima uichape kwakua muombaji atakua anajua kusoma na kuandika vizuri na kazi zake nyingi zitahitaji ujuzi wa compyuta.

"WASALAAM"
 
Mada imefungwa hapa.
 
Its depend na mhusika anatakaje. Kwa mi naona typing ni better kuliko mkono. Manake mkono unaweza andika mwandiko, au herufi zingine ambazo msomaji akashindwa kuzirecognize kwa uharaka, so inaweka kipingamizi.

Ila kuna taasisi/sehemu zingine, wanahitaji barua iliyoandikwa kwa mkono. Mfano mzuri tunaona TANROADS, Mahakama na sehemu zingine binafsi.
Wengine wanataka uandike kwa Mkono ili waone na Muandiko wako ukoje. Inawezekana kazi utakazoenda kufanya zinahusisha kuandika kwa Mkono pia.
 
Ukiomba Kwa mtandao (online) inakuwaje?
una-upload documents zako ulizo-scan kama vyeti, CV, na iyo barua ya mkono.

Au unahisi barua ya mkono ukis-can, uki-upload na ku-send itakataa.

Au wewe huwa unafanyaje mkuu unapoomba online, unaandika tu e-mail bila ku-atach documents
 
Wewe ndio utakuwa mjinga ukiacha kuandika kwa mkono ukaenda kutoa pesa stationery ili uchapiwe barua wakati kuandika kwa mkono ni bure.
Ndio maana ukaambiwa aliyeandika kwa mkono atapewa kipaumbele kwa sababu wewe uliyeenda kuchapa kuna mambo 3
1.either ni mvivu ukamtuma mtu wa stationery
2.hujui kuandika barua ukamtuma mtu wa ststionery
3.Una mwandiko mbovu unaogopa usionekane
Na kumbuka kazi inapotangazwa hauombi peke yako wanaomba maelfu ya watu kwa hyo vitu vidogo kama hivi ndio hutumika kuwachuja watu hadi kupata idadi wanayoitaka.
Sasa wewe endelea kusema ni ujinga uwe unakatwa kila siku halafu sijui utawashtaki wapi au sijui utaandamana wapi.
Ni ujinga tu kwani mtu hawezi kuandikiwa
 
We ni kilaza ,watajuaje kuwa ni mwandiko wangu.nikijua nina hayo mapungufu why nisimpe mtu aniandikie
 
wewe ni mjinga hujielewi ukimpa mtu akuandikie na kwenye usahili utamleta huyo mtu akujibie maswali?Haimaanishi ukiforge barua ndio umeshapata kazi bado kuna milolongo mingi hadi kuipata hiyo kazi kuanzia written interview ukipita kuna oral interview na ukishafaulu hapo kabla ya kusaini mkataba utaombwa ulete vielelezo ikiwemo vyeti vyako.
Kama wewe ni mburula watakunasa tu kima wewe.
 
Unaongea kama unaongea na mumeo pumbavu unadhani mi ni mtoto.nimeshafanya sana interview na nimeshafanyia sana watu interview kenge wee
 
Kajaribu kumfanyia mtu interview uone moto waje kama hawajakutatua marinda hayo.
utakuja kusimulia hapa ukishamwaga mavi nyuma.
Unaongea kama unaongea na mumeo pumbavu unadhani mi ni mtoto.nimeshafanya sana interview na nimeshafanyia sana watu interview kenge wee
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom