Kuna tiba ya 'ushoga' kwa mwanaume?

Kuna tiba ya 'ushoga' kwa mwanaume?

Fanya sala Aliyekuumba aweza kufanyika msaada...na hakuna popote nimekudhihaki zaidi nimekushauri.
Jitie nguvu mwendee Mungu kwa sala.
Yasiyowezekana kibinadamu Mungu anaweza
Amina kaka mkubwa 🙏
 
MkiUngumzia ushoga hata in negative way huku naona Kama mnaupigia promo tu siku izi cc Robert harrie
 
Back
Top Bottom