and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,410
- 40,103
Ile harufu mnavumiliaje?
Maneno yako hayawezi kuniumiza kwa sababu ni aibu na mapambano yangu. Mshukuru Mungu kwa kukujaalia utimilifu ambao mimi sina
Wadau, mwanaume ambae ameshakuwa shoga, yaani yeye alikuwa anaingiliwa tu. Huwa kuna tiba ya kumtoa huko?. Nilisikia kama mwanaume kaingiliwa, halafu kamwagiwa ndani, zile manii zinatakiwa kutolewa ili zisimletee shida. Ni kweli tiba ipo?.
Unajua hawa jamaa wanapandikiza vitu ambavyo zamani vilikuwa vigumu kukutana navyo ila kwa sasa tuvichukulie tu vya kawaida. One the great impact of Globalization.Mada hizi zimekuwa nyingi sana jamvini, MUNGU tulindie watoto wetu
Mkuu kwanza pole kwa masahibu yako, lakini hebu funguka tujue ni kwa kiasi gani umeathirika. Nakupa pongezi na kongole kwa uamuzi huo wa kutaka ushauri namna ya kutoka huko.Wadau, mwanaume ambae ameshakuwa shoga, yaani yeye alikuwa anaingiliwa tu. Huwa kuna tiba ya kumtoa huko?. Nilisikia kama mwanaume kaingiliwa, halafu kamwagiwa ndani, zile manii zinatakiwa kutolewa ili zisimletee shida. Ni kweli tiba ipo?.
Hayo manii ndo yanasabisha maambukizi mkuu. Haya mambo sio mazuri kabisa.Huyo shoga atakuwa haendi kunya kabisa? Hivi akitoka kumwagiwa yale maujiuji, ameinjoika, akaenda kula Kitimoto kilo moja na ndizi nne, si ni dakika sifuri tu anaenda kushusha kimba litakalo sukuma hayo maujiuji?
Kuna uzi humu shoga alielezea kuwa kuwashwa hakusababishwi na manii bali ni maambukizi.
Kazi kwerikweri...Hayo manii ndo yanasabisha maambukizi mkuu.Haya mambo sio mazuri kabisa.
Nini kilikupelekea ukawa unafanya haya mambo?Maneno yako hayawezi kuniumiza kwa sababu ni aibu na mapambano yangu. Mshukuru Mungu kwa kukujaalia utimilifu ambao mimi sina
Nini kilikupelekea ukawa unafanya haya mambo ?
I see,Automatically tu kama wewe ulivyoanza sex
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo shoga atakuwa haendi kunya kabisa? Hivi akitoka kumwagiwa yale maujiuji, ameinjoika, akaenda kula Kitimoto kilo moja na ndizi nne, si ni dakika sifuri tu anaenda kushusha kimba litakalo sukuma hayo maujiuji?
Kuna uzi humu shoga alielezea kuwa kuwashwa hakusababishwi na manii bali ni maambukizi.
It has been two years now but its getting more harder each day. As much as you can't survive two months without having sex ndio ninachopitia dailyI see,
But uko una enjoy hizi mambo? Na if yes ungependa kuacha ?
Jf inaonekana Kuna mashoga wengi Sana,mmhWadau, mwanaume ambae ameshakuwa shoga, yaani yeye alikuwa anaingiliwa tu. Huwa kuna tiba ya kumtoa huko?
Nilisikia kama mwanaume kaingiliwa, halafu kamwagiwa ndani, zile manii zinatakiwa kutolewa ili zisimletee shida.
Ni kweli tiba ipo?
Aisee! Pole sana. Na Mwenyezi Mungu akusaidie uvuke salama huo mtihani wako. Inahuzunisha na kufikirisha sana.Maneno yako hayawezi kuniumiza kwa sababu ni aibu na mapambano yangu. Mshukuru Mungu kwa kukujaalia utimilifu ambao mimi sina
Pole pambana utashinda, jitahidi kula mbususu sanaIt has been two years now but its getting more harder each day. As much as you can't survive two months without having sex ndio ninachopitia daily
Madam salt hahaa asantePole pambana utashinda, jitahidi kula mbususu sana