Kuna tatizo lolote ktk picha hii?

Kuna tatizo lolote ktk picha hii?

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
11,449
Reaction score
9,744
MMGM1345.jpg
 
Tusimhukumu jamani. Anawezakuwa "anachatt!!" labda. .......Au?
 
kuna tatizo lingine hapo huyo kamanda hajavaa kijani na njano kama utepe ulivyo
 
Facebook facebook twitter amekuwa kamanda wa makamanda wa leo (song) .
 
Hapo tatizo ni usingizi wangapi daah.
Wakwanza huyo manyota kavaa Maruuni.
Wapili yule kuleee manyota pia kavaa blue bahari
Watatu yule jirani na manyota wa blue bahari sema umanyota wake ni wale wa usalama wa taifa.
Hii ni tatizo sasa sijui ni hangover za jana yake au muda wa kazi unazidishiwa na wote ni ASKARI.:hand:
 
Bodyguard kalala aisee.Halafu jamaa mbona mzee sana ndo maana analala ovyo.
Huyo sio bodyguard mkuu The mountain lion, Huyo ana-reflect dola kijeshi, mabody guard hawavai uniform, they are usually wired. ki-intelligencia wako katika kundi maalum la PSU. Yaani President Security Unit. For more details pm me au tukutane jukwaa la intelligence.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom