Kuna tatizo lolote ktk picha hii?

Kuna tatizo lolote ktk picha hii?

Ni vema pia na hiyo mimbari tukaiandika "serikali ya blablah nini nini Rais wa blablah nini nini " ni pendekezo tu.
 
Amelala baada ya kukalishwa macho kuhakikisha atakachosoma kipo walivyotaka...lol
 
Huyo Bodyguard wa Shein ana bonge la Kitammbi juzi linicheka sana sana aiseee
 
Huyo anayesinzia siyo mlinzi wa Shein, bali ni mkuu wa Jeshi Zanzibar, mpambe wa Shein yupo hapo karibu hiyo picha haijampata. Na huyo juu nyuma ya huo mjeshi ni somebody Nyali ni Mlinzi wa Waziri Mkuu Pinda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom