Kuna tatizo kwenye mafunzo ya askari hawa

Kuna tatizo kwenye mafunzo ya askari hawa

Kwata huwa nafurahia JKT na MAGEREZA nasi...hawa wengine huwa siwaekewi sijui uvivu au mazoea tu hasa JWTZ wanarusha kidogo sana...
Sio uvivu wala mazoea sema wewe ndiye hujui kitu
 
Wako vzr saana, natoa pongezi kwao na nao walowafundisha.waongeze bidii maslahi zaidi yanakuja.

Mambo mengine ni changamoto zinazo tatulika.

Big up
 
Back
Top Bottom