Kuna tatizo kwenye mafunzo ya askari hawa

Kuna tatizo kwenye mafunzo ya askari hawa

Pia huyo mstari was kwanza kaweka smart phone mfukoni make..chunguza kwa umakini utaona kina Tecno ndani...sijui kama ni protocol zinataka hivyo.
Ndio maana jeshini nilidumu kwa miaka mitatu tu na kuachana na maisha ya amri na kushikiwa akili yaani huyu Raia anaona ni kosa hata huyo askari kuwa na smartphone mfukoni? Which is true maana kwenye ceremony kama hizi hupaswi kubeba vitu visiyoambatana na jeshi hata chupi inapaswa kuwa mali ya jeshi.

Pia "guzimachi" yao haijachangamka maana kuna wanaa na wale chakufia nini...sio kila mtu anaenda jeshini ana interest wengine njaa tu na ukosefu wa ajira but deep down their passion is not on the military.

Wakati nipo kozi, kuna mkurya aliacha kazi ya uhasibu Viwanja vya ndege akaja kujiunga na jeshi...nilikuwa namuangalia simmalizi.
 
Kwata huwa nafurahia JKT na MAGEREZA nasi...hawa wengine huwa siwaekewi sijui uvivu au mazoea tu hasa JWTZ wanarusha kidogo sana...
Tanzania all time best kwa kwata ni Magereza then FFU ukute wale wa Ukonga. JKT nao kwata yao huwa ya kuvunja soli ya kiatu, TPDF kwenye kwata sijui kwanini wanakuwaga wa kawaida sana.

Been there, done that!
 
Ndio maana jeshini nilidumu kwa miaka mitatu tu na kuachana na maisha ya amri na kushikiwa akili yaani huyu Raia anaona ni kosa hata huyo askari kuwa na smartphone mfukoni? Which is true maana kwenye ceremony kama hizi hupaswi kubeba vitu visiyoambatana na jeshi hata chupi inapaswa kuwa mali ya jeshi.

Pia "guzimachi" yao haijachangamka maana kuna wanaa na wale chakufia nini...sio kila mtu anaenda jeshini ana interest wengine njaa tu na ukosefu wa ajira but deep down their passion is not on the military.

Wakati nipo kozi, kuna mkurya aliacha kazi ya uhasibu Viwanja vya ndege akaja kujiunga na jeshi...nilikuwa namuangalia simmalizi.
Best comment ever to this thread
 
Kila mara napenda kusema usiyajua na kama hayakuhusu yaache yalivyo.

Kwaakili yako hapo ww unajiona unakosoa lakn kumbe hujui kitu ni bogus kabisa
Yaani hawa watu shida sana, MTU anakosoa kwata wakati hata mgambo hakumaliza kozi
 
Pia huyo mstari was kwanza kaweka smart phone mfukoni make..chunguza kwa umakini utaona kina Tecno ndani...sijui kama ni protocol zinataka hivyo.
salute hiyo lazima wakate jicho kulia! pembeni ni marka hao wanaangalia mbele
 
Afu hii guard imechanganya wanawake na wanaume something which is incorrect...yaani mama ametoka likizo ya uzazi ukampigishe guzimachi kisa una uchache wa askari? Lazma uyaone mawimbi...yule aliedondosha kofia ni mwanamke?

Hapo lazma guzi iwe na wimbi.
 
Wengine nyuso zao wanatazama mbele wengine upande
Mfumo wa parade huo. Wale wa mwanzo kulia wanaitwa 'rightmarker' wakati wa kutoa heshima, hawakati shingo zao kulia, hubaki wameangalia mbele.
 
Tanzania all time best kwa kwata ni Magereza then FFU ukute wale wa Ukonga. JKT nao kwata yao huwa ya kuvunja soli ya kiatu, TPDF kwata sijui kwanini wanakuwaga wa kawaida sana.

Been there, done that!
Mkuu unaonekana haya mambo unayaelewa sana neno pekee la kuipa heshima comment yako ni HONGERA, nimekuwa nafatilia sana hizi mambo na mara kadahaa nimebahatika kufika viwanjani hao FFU, JKT& MAGEREZA huwa habari nyingine!!!
 
Wengine wanakodolea Camera badala ya kupiga kwata.
 
Mkuu unaonekana haya mambo unayaelewa sana neno pekee la kuipa heshima comment yako ni HONGERA, nimekuwa nafatilia sana hizi mambo na mara kadahaa nimebahatika kufika viwanjani hao FFU, JKT& MAGEREZA huwa habari nyingine!!!
Mkuu Shukrani! Nayasema haya maana nimekuwa mfunga buti kwa miaka kadhaa jeshini..kwa hiyo nayajua haya na moja kati ya udhaifu wangu huwa sinaga kuvutia kwangu.

Na kwa vile ni ukweli ndio maana hata wewe umeuona kirahisi.

Peace!
 
Back
Top Bottom