Weye unataka kuua sasa. Mchome na mdeki. HahahahahaaaNa singe bana mdeki hauchomi[emoji16][emoji16][emoji16]
wengine wamekata shingo wengine wameangalia mbele
Hiyo kawaida mboana mimi nilivunja hadi S.A.RMmoja Mpaka kofia imeanguka
Right maker hatizami pembeni hua anangalia mbele ili asipoteze bogWengine nyuso zao wanatazama mbele wengine upande
Ngelengele ni kikosi gani mkuu na namba ngapi ya kikosi hichoWaje uku ngele ngele waone kwata ilivo
Mtu aliye kulia yeye huwa hatazami upande wa mh alipo.....lakini walio kushoto wote ndio wanatoa heshima kwa kugeuza vichwa kulia....Wengine nyuso zao wanatazama mbele wengine upande
wanaangalia camera waonekane ukurasa wa mbele ili wapate kiki mtaaanniiiiiiView attachment 773849 Kupishana huku kwenye gwaride kuna kitu hakipo sawa Either uvivu, dharau, makusudi, ama mafunzo hafifu
Sifa ya askari kupimwa nidhamu ni kwata na raha ya kwata vitendo viende sawa anyway napita tu.