Mr DIY
JF-Expert Member
- Dec 24, 2016
- 1,116
- 2,357
Crdb wanatabia ya kukata rejesho la kwanza kwenye amount ya mkopo hata kama kwenye salary ulishakatwa cha kufanya rudi kwa afisa mkopo atakufanyia process kuna amount itarudiashwa kwakoCRDB ni ovyo mwenyewe imenichukua miezi 2 kupata mkopo, ajabu sasa makato ndio nimekoma wamekata laki 7 kwa mkopo wa mil 13. Kama processing fees.
Kesho yake nikakatwa elfu 15 statement inanambia ni fee ya kuendesha akaunti kwa mwaka. Hapa nawawaza hata sina jibu