Kuna Tatizo gani benki ya CRDB?

CRDB ni ovyo mwenyewe imenichukua miezi 2 kupata mkopo, ajabu sasa makato ndio nimekoma wamekata laki 7 kwa mkopo wa mil 13. Kama processing fees.

Kesho yake nikakatwa elfu 15 statement inanambia ni fee ya kuendesha akaunti kwa mwaka. Hapa nawawaza hata sina jibu
Crdb wanatabia ya kukata rejesho la kwanza kwenye amount ya mkopo hata kama kwenye salary ulishakatwa cha kufanya rudi kwa afisa mkopo atakufanyia process kuna amount itarudiashwa kwako
 
CRDB ni ovyo mwenyewe imenichukua miezi 2 kupata mkopo, ajabu sasa makato ndio nimekoma wamekata laki 7 kwa mkopo wa mil 13. Kama processing fees.

Kesho yake nikakatwa elfu 15 statement inanambia ni fee ya kuendesha akaunti kwa mwaka. Hapa nawawaza hata sina jibu
In short, financial system haiko balanced in Tanzania,mtoto wa mkulima ndo analea matajiri wote
 
CRDB ni ovyo mwenyewe imenichukua miezi 2 kupata mkopo, ajabu sasa makato ndio nimekoma wamekata laki 7 kwa mkopo wa mil 13. Kama processing fees.

Kesho yake nikakatwa elfu 15 statement inanambia ni fee ya kuendesha akaunti kwa mwaka. Hapa nawawaza hata sina jibu
Huna jibu ? Hama mzee. Wale jamaa hamna kitu siku hizi
 
Mkuu inaonekana uko vzur Sana masuala ya benki funguka ,mm mwenyewe ni mhanga wa hilo niliprocess mkopo wameanza na kukata ela yao lakini bado hawajanipatia hela nilipoenda kuwaulizia wanarukaruka tu Mara Leo Mara system bado ni wiki tena leo inakatika
Hii habari mbaya sana mzee. Unakataje hela ya mtu bila kumpa chake kwanza ?
 
Umesema kweli. ....kama mtu una njia nyingine ya kupata mtaji japo kidogo au kujipanga kwa muda hata mwaka sikushauri ukope Bank......
Nilikopeshwa milioni 60 kwa miaka 2 .Kwanza nilisubiri kama miezi 4 ili matayarisho yakamilike, tathmini na mikataba mingine yaliyogharimu takriban 6milioni.Jumla ya marejesho yote kwa hizi 60mil ni 84milioni. Ni biashara gani ya 60milioni inayotoa 24milioni.
Kwa kifupi benki hazipo kuwasaidia watu bali kufanya biashara na tena za kinyonyaji.
Ukweli uliyoandika hapa ni mchungu lakini ndio uhalisia wenyewe. Benki zipo kwa ajili ya kufanya biashara full stop.
Kama unataka mkopo nafuu nenda SACCOS za kazini
 
CRDB kupata mkopo baada ya mwezi 1 hata kama umejaza na kurudisha form.
Huwa wanadanganya mfumo lakini si kweli wanatoa kwa mafungu.
CRDB imeondoka na Kimei
Japokua sina uhakika sana lakini inawezekana wanatoa kwa mafungu. CRDB kwa kweli iliondoka na Kimei
 
CRDB now imekuwa ya ajabu mno ingawa naitumia.mkuu kwenye mikopo mwalimu commercial bank wapo vizur ingawa wanakukata kwanza then ndo wanakupa.ila kwenye top up wapo vizuri sana.mi nilipofanya top up,siku nilipopitisha kwa HR nikawatumia.baada ya saa 5 mzigo ukaingia ndani ya cku moja.yaani nilifurahi hadi nikasahau machungu ya kukatwa.
Aisee . . . Bora hao
 
Kufuatilia mkopo wapo, nadhani unajua anapata commision kwa kila mkopo unao kamilika.. so anakuona mtu muhimu sana.

Hutakiwi kumpa hata cent 5.
Ndio maana walimuambia haraka njoio wakijua mambo sio sawa, kwa ajili ya kuonyesha kuwa anafanya kazi analeta wateja.
 
Back
Top Bottom