nasnay
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 599
- 911
Kuna mdau alishauri absa bank,nimewacheki nao ni walewale
Mkuu, msome mjumbe hapo juu. Tafuta option nyingine kama nafasi hio ipo.
Kuna mdau alishauri absa bank,nimewacheki nao ni walewale
Nakubaliana nawe aiseeee ndio hivyo nishabugiWorst decision umefanya ni kwenda kubadili bank bila kuichunguza hali yake kihuduma
NBC sidhani kama ipo vizuriNBC tunapiga kazi kimya kimya hatutaki mje kutuongezea foleni bakini huko huko.
Acheni kujazana uongoOkey sawa nimekupata,yap nasikia kuna percent loan officer anapata anapowezesha mtu kukopa.
Loan officer hana commision yoyote kwenye kuprocess mkopo? Benki haimpi reward yeyote?acheni kujazana mauongo
Nipo kijijini na sijawahi kufika dar, natambuaje ramani hiyo mkuu?.Soma mneno la Mwisho hapo. Hao jamaa wapo pale wanakopitia Mabalozi wengi wakienda mjini.
Duh aiseeee itakuwa inawalenga wateja fulani tuVp standard chartered, kuna siku nilitaka kufungua akaunti pale nikaambiwa milioni moja, aisee niliondoka kwa kasi ya 5G....
Kutop up mwaka Jana nilikatwa mwaka mzima 385,000/-*12,kutop up wakanipa laki nne kwa makato ya 4,620,000/-kwa mwaka.Ni uzoefu mbaya niliopata katika maisha.Hawa jamaa ni wezi, hasa kwenye kutop up
Hapana. Sio kweli.Vp Standard Chartered, kuna siku nilitaka kufungua akaunti pale nikaambiwa milioni moja, aisee niliondoka kwa kasi ya 5G....
ni zaidi ya wezi hawa jamaaKutop up mwaka Jana nilikatwa mwaka mzima 385,000/-*12,kutop up wakanipa laki nne kwa makato ya 4,620,000/-kwa mwaka.Ni uzoefu mbaya niliopata katika maisha.
ni kweli kabisa kuna wakati unahitaji kudeposit unaambiwa network inasumbua mpaka siku 3System inachukua wiki mbili kutengemaa?
CRDB honestly imekuwa Benki ya hovyo sana siku hizi. Hata kwenye huduma za Mawakala wao, kumekuwa na tatizo la mtandao kusumbua Mara Kwa Mara.
Labda hiyo ni kwa akaunti ya pesa ya madafu, mimi nilitaka kufungua ya dola ili niwe naweka vidola vyangu kutokea majuu nilipokuwa masomoni...Hapana. Sio kweli.
Ukiingia kwenye website yao wanaonesha kila kitu.
Binafsi nilifungua account bila hata kupita tawi lao.
Nilitumia app yao.
Wako vizuri sana ...hutajuta.NBC sidhani kama ipo vizuri