Kuna Tatizo gani benki ya CRDB?

Kuna Tatizo gani benki ya CRDB?

Tulikubaliana kuwa huduma za kibenki bila longolongo nenda ABSA BANK mkopo ndani ya masaa 24 kwa riba ya 15%,hakuna haja ya kuhamisha mshahara kwani pesa yako ya mkopo utaingiziwa kwenye account unayopitishia mshahara kwenye benki yako.
Hao CDRB wana liquidity issue ila hawataki kuwa wawazi and bad enough wateja wakienda kuchukua settlement letter wanamuwekea amount sawa na inayoonekana kwenye payslip hii kitu haikubaliki popote ila kwa kuwa mmeaminishwa kuwa benki ni CRDB na NMB basi kaeni kwa kutulia dawa iwaingie vizuri.
Mkuu inaonekana uko vzur Sana masuala ya benki funguka ,mm mwenyewe ni mhanga wa hilo niliprocess mkopo wameanza na kukata ela yao lakini bado hawajanipatia hela nilipoenda kuwaulizia wanarukaruka tu Mara Leo Mara system bado ni wiki tena leo inakatika
 
Dah CRDB wanaharibu mipango ya watu halafu hawakatai mipango ya watu
 
Benki ya kifala sana hii kwa sasa, wapo na huduma yao ya e-banking wanahimiza watu kujiunga ila bado wako zama za mawe hawa jamaa. Wiki jana nilitoka nje ya nchi kidogo nikataka kutuma chochote kwa familia hii "system"yao inagoma haitoi password, kutafta msaada kwao zaidi ya wiki mbili hakuna solution wafanyakazi hawajielewi mpaka mameneja wao kwenye hiki kitengo cha e-banking, non-proffessional kabisa sijui wanawaokota wapi. Well, safari bado ni ndefu.
BOT ndio wa kulaumiwa wakati benki zisipotoa huduma nzuri kwani kazi yao ya OVERSIGHT ni pamoja na kuangalia kuwa wateja wanapata huduma stahiki!!
 
System inachukua wiki mbili kutengemaa?

CRDB honestly imekuwa Benki ya hovyo sana siku hizi. Hata kwenye huduma za Mawakala wao, kumekuwa na tatizo la mtandao kusumbua Mara Kwa Mara.
We unafikiri gharama za kujenga crdb chato na kuajiri wafanyakazi ikiwa wateja hamna ni kazi ndogo?
 
Exim bank
Mabank haya yana matatizo sana kwanza. Riba zao ni kubwa mnooo. Unakopa mil 20 malipo ni mil 50 na kitu. Kuna bank iko pale Salender bridge wale sasa ndio kabisaaa ni waongo balaa kabisa.
 
Mkuu ABSA ni 15% kweli?
Tulikubaliana kuwa huduma za kibenki bila longolongo nenda ABSA BANK mkopo ndani ya masaa 24 kwa riba ya 15%,hakuna haja ya kuhamisha mshahara kwani pesa yako ya mkopo utaingiziwa kwenye account unayopitishia mshahara kwenye benki yako.
Hao CDRB wana liquidity issue ila hawataki kuwa wawazi and bad enough wateja wakienda kuchukua settlement letter wanamuwekea amount sawa na inayoonekana kwenye payslip hii kitu haikubaliki popote ila kwa kuwa mmeaminishwa kuwa benki ni CRDB na NMB basi kaeni kwa kutulia dawa iwaingie vizuri.
 
sio hapa tu sasa hivi Mikopo CRDB hawatoi kama ilivyokuwa mwanzo na kwa Wafanyabiashara na wajasiliamali ndio kabisa.
CRDB kuna matatizo ya kifedha ni miezi karibu 5 sasa-inakwenda kufilisika hii Bank.

Mkui hamia Bank nyingine.
Bank yenye faida bilioni 200 inafilisika vipi,sema faida itapungua sio kufilisika!wakati kuna Benki za Kikenya zinapiga loss ya bilioni saba na hawatakaa wabreak even.
 
Mabank haya yana matatizo sana kwanza. Riba zao ni kubwa mnooo. Unakopa mil 20 malipo ni mil 50 na kitu. Kuna bank iko pale Salender bridge wale sasa ndio kabisaaa ni waongo balaa kabisa.

Wale jamaa acha kabisa, walinikopesha 5m ambayo ililimwa kama138k. before kupata(wanaita sijui ma nini huko). Nililipa 8.7 kwa miezi 36. Upumbavu wao jamaa akanitaka ni top up ilivyofika wiki ya 28, nikataka kuingia mkenge, alinipoteza alipotaka niwasilishe hati ya nyumba au kiwanja!, nilijiuliza vielelezo vipya vya nini wakat bado nilikuwa kwenye ajira ile ile tena mshahara ukiwa umepanda kwenye kampuni ile ile? Nikaona hawa wanataka ka kibanda kangu tu. Hadi leo, kama mtu una njia nyingine ya kupata mtaji japo kidogo au kujipanga kwa muda hata mwaka sikushauri ukope Bank.
 
Ulikopa taasisi gani mkuu?
 
Worst decision umefanya ni kwenda kubadili bank bila kuichunguza hali yake kihuduma
 
CRDB now imekuwa ya ajabu mno ingawa naitumia.mkuu kwenye mikopo mwalimu commercial bank wapo vizur ingawa wanakukata kwanza then ndo wanakupa.ila kwenye top up wapo vizuri sana.mi nilipofanya top up,siku nilipopitisha kwa HR nikawatumia.baada ya saa 5 mzigo ukaingia ndani ya cku moja.yaani nilifurahi hadi nikasahau machungu ya kukatwa.
Hiyo Mwalimu commercial Bank ni lazima uwe mwalimu au mtu wa kada yeyote unaruhusiwa kukopa?
 
Mnatafutaga nini huko mashenzini? Wacha mpigwe tu, hakuna namna ingine.
 
Wale jamaa acha kabisa, walinikopesha 5m ambayo ililimwa kama138k. before kupata(wanaita sijui ma nini huko). Nililipa 8.7 kwa miezi 36. Upumbavu wao jamaa akanitaka ni top up ilivyofika wiki ya 28, nikataka kuingia mkenge, alinipoteza alipotaka niwasilishe hati ya nyumba au kiwanja!, nilijiuliza vielelezo vipya vya nini wakat bado nilikuwa kwenye ajira ile ile tena mshahara ukiwa umepanda kwenye kampuni ile ile? Nikaona hawa wanataka ka kibanda kangu tu. Hadi leo, kama mtu una njia nyingine ya kupata mtaji japo kidogo au kujipanga kwa muda hata mwaka sikushauri ukope Bank.
Umesema kweli. ....kama mtu una njia nyingine ya kupata mtaji japo kidogo au kujipanga kwa muda hata mwaka sikushauri ukope Bank......
Nilikopeshwa milioni 60 kwa miaka 2 .Kwanza nilisubiri kama miezi 4 ili matayarisho yakamilike, tathmini na mikataba mingine yaliyogharimu takriban 6milioni.Jumla ya marejesho yote kwa hizi 60mil ni 84milioni. Ni biashara gani ya 60milioni inayotoa 24milioni.
Kwa kifupi benki hazipo kuwasaidia watu bali kufanya biashara na tena za kinyonyaji.
 
Back
Top Bottom