Kuna taarifa kuwa kampuni ya AVIS Tanzania nayo imefunga biashara na sasa inauza magari yake

Na ukiwa huna akii za kushikiwa utajiuluza ni kwanini biashara zinazoripotiwa kufungwa ni nyingi katika siku za hivi karibuni.
Sio tanzania tu tesla inapunguza 5% ya wafanyakazi general motors inapunguza matawi marekani na apple wanatarajia kuhama china ni mfano wa makampuni nje ya tanzania yanayofunga biashara, akiri zenu zinafikiria kuilaum tu serikali kama watoto mliozaliwa jana hamjui mambo yanavoenda kwa ziada 80% ya biashara mpya zinakufa ndani ya mwaka mmoja na 60% ya 20% iliobakia zinakufa ndani ya miaka mitatu. Hakuna jambo jipya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utawala wa dikteta unaua biashara ubinafsi kisha unalalamika kodi zinapungya
 
Wanafunga biashara kwa vile Mjomba kawabada wakwepa kodi. Tunyooshe Mjomba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…