Kuna 'Sober House' za punyeto?

naacha asee kuna dem ananizungua roho ikawa inauma sema nilivyjilipua nkamuona fara tu na sijamtafuta mpaka sa hv
yani demu ndo akuaribie future yako
fikiria unachofanya pia try to focus on ur coming life
 
Mwili wako upo sawa?
una kilo ngapi?
 
Kuacha nyeto ni rahisi sana.
Tafuta demu ambaye unayeona ukikaa naye unakuwa huna wasiwasi(ukikaa uchi mbele yake huna wasiwasi,wakati wa kufanya mapenzi naye huna hata lepe la kutokujiamini,ukiwa naye hamu ya kufanya mapenzi inakuwa kubwa kuliko ukiwa na mwingine,ukiwa naye unakuwa huru sana.
N.B: Usithubutu kumwambia kama wewe ni mpiga puchu,anaweza kukwambia maneno yatakayokuvuruga.
 
Labda ukatwe mikono yote hapo utaacha kwa lazima.
 
MOJA BILA NOW,BADO ASUBUHI NA MAPEMA,SAFARI BADO NDEFU
 
 
Mnashindwa kuwapa wanawake show za kibabe, utamu wote mnaumalizia mikononi mnakera
Hizo show za kibabe wengi wenu mnazikimbia eti tuko rough, kuta ntu anapiga show hadi unaomba maji ya baridi ukipooze si utamkimbia episode inayofata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…