Kuna siti ndani ya basi ukikaa uwezekano wa kufa ikitokea ajali ni mdogo sana. Makinika

Kuna siti ndani ya basi ukikaa uwezekano wa kufa ikitokea ajali ni mdogo sana. Makinika

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,169
Reaction score
48,681
Hesabu hazidanganyi.

Nenda mtandaoni angalia ajali mbalimbali, angalia ajali zinasababishwa na nini, na ajali zinazoua kwa wingi ni za namna gani.

•Ajali za kugongana gari uso kwa uso wahanga ni dereva na abiria wa siti za mbele.
•Ajali za dereva kukosa balance mara nyingi dereva huipindua gari upande wa pili ili aponye nafsi yake.

Kwahiyo ukikaa siti za pembeni kabisa upande wa pili wa dereva lazima ujue kuwa wewe ni kinga ya dereva.
Kwa leo tuishie hapo.
 
•Ajali za dereva kukosa balance mara nyingi dereva huipindua gari upande wa pili ili aponye nafsi yake. Kwahiyo ukikaa siti za pembeni kabisa upande wa pili wa dereva lazima ujue kuwa wewe ni kinga ya dereva.
Kwa leo tuishie hapo.
Weka na mchoro kabisa tuone. Hii ndo Techinical writing
 
Hesabu hazidanganyi.

Nenda mtandaoni angalia ajali mbalimbali, angalia ajali zinasababishwa na nini, na ajali zinazoua kwa wingi ni za namna gani.

•Ajali za kugongana gari uso kwa uso wahanga ni dereva na abiria wa siti za mbele.
•Ajali za dereva kukosa balance mara nyingi dereva huipindua gari upande wa pili ili aponye nafsi yake.

Kwahiyo ukikaa siti za pembeni kabisa upande wa pili wa dereva lazima ujue kuwa wewe ni kinga ya dereva.
Kwa leo tuishie hapo.
upande mwingine ni ule wa kulia. Siti za kulia nako ikitokea ajali ya kugongwa na gari ya kupishana mtalambwa wote upande huo!
 
Walioketi siti zipi walikuwa na uhakika wa kutoboa kwenye hii ajali? Tu-assume wote walifunga mikanda.
GWyDIJYWEAAWS2z.jpeg
 
Huu uzi nilifikiri kaandika Genta maana ndio huwa anafikra za namna hii
Kwakuwa KAACHA KUKUINGILIA KINYUME na ULIVYOUMBWA na Muumba siku hizi ndiyo maana una HASIRA na KISASI nae?

Nimekuvumilia vya kutosha sasa ngoja NIKUNYOOSHE kwani huenda ukawa umesahau kuwa hakuna wa KUSHINDANA nami hapa JamiiForums kwa VITA YA MANENO hata mkiwa 100 na Mimi peke yangu.

You're a FOOLISH AND IMBECILE TANZANIAN HATER.
 
Back
Top Bottom