Kuna siri gani tumehamishiwa wakuu wote wa wilaya za Dar?

Baadhi yao walijigeuza miungu watu huku wakijiamlia bila kufwata taratibu na kutumia vibaya mapato ya serikali so wamewapeleka sehemu ambako ni ngumu sana kukusanya mapato.
 
Mkoa wa DSM uunganishwe na Pwani, na tuwe na wilaya 4 tu,tusukume maaendeleo kwenye level ya kata na mtaa, maana huku ndiko kwenye midomo inayohitaji huduma, ni zoezi litakalo tuumiza sana kifedha, ni gharama mno kumhamisha DC mmoja kutoka wilaya A kwenda B,halafu binafsi sielewi why uhamishe DC,mfano unamtoa Nkanini kutoka Namtumbo na unampeleka Makete, why?,kama Nkanini ameshindwa Namtumbo definitely Makete pia itamshinda maana codes za ma DC ni zile zile
 
Comment makini kwa maslahi ya taifa
 
Kweli kabisa. Na zaidi: wakuu wa wilaya hawana lolote la maana. Waondolewe. Kwanza ni namna tu ya watawala kupenyeza watoto na ndugu zao kwenye ulaji. Ukiona majina ya wakuu wa wilaya utaelewa namaanisha nini
 
Baadhi yao walijigeuza miungu watu huku wakijiamlia bila kufwata taratibu na kutumia vibaya mapato ya serikali so wamewapeleka sehemu ambako ni ngumu sana kukusanya mapato.
Mkuu wa Wilaya anapata wapi mapato wakati yeye lazima apewe na DED
 
Nimeshtushwa sana baada ya kuona wakuu wote wa wilaya za Dar wakihamiswa kwa mpigo sijajua nini maana yake.

Yaweza kuwa ni taa ya kijani kwa mkuu wa mkoa pia?
Mtu kama Ludigija kazoea kula nchima boyo huko chato, umkabidhi Ilala kweli, let's be serious ......, Ataibadilishaje ilala kama anakotoka pamejaa vichaka.

Heri James ametokea kabuhoro huko, kirumba milimani, mwanza, umpe ubungo? Aaahhh jameni.

Halafu ni kama wako demoted, wilaya moja ya Dsm ni sawa na Mkoa wa huko mikoani
 
Mkoa wa DSM uunganishwe na Pwani, na tuwe na wilaya 4 tu,tusukume maaendeleo kwenye level ya kata na mtaa, maana huku ndiko kwenye midomo inayohitaji huduma, ni zoezi litakalo tuumiza sana kifedha, ni gharama mno kumhamisha DC mmoja kutoka wilaya A kwenda B,halafu binafsi sielewi why uhamishe DC,mfano unamtoa Nkanini kutoka Namtumbo na unampeleka Makete, why?,kama Nkanini ameshindwa Namtumbo definitely Makete pia itamshinda maana codes za ma DC ni zile zile
Ma DC na RC huo ni mtaji wa kisiasa.
 
Baadhi yao walijigeuza miungu watu huku wakijiamlia bila kufwata taratibu na kutumia vibaya mapato ya serikali so wamewapeleka sehemu ambako ni ngumu sana kukusanya mapato.
Mkuu wa wilaya kukusanya mapato wapi na wapi?

Muwe mnaficha ujinga wenu!
 
Back
Top Bottom