Kuna siri gani kwenye chumvi?

Chumvi Ile ya mabonge, ukiweka kwenye mto wa kulalia mchawi hakaribii. Hata Yale maji ya baraka kanisani yana chumvi. Chumvi ni kama utakaso.
chumvi ya mabonge ndio chumvi ya mawe?
 
Chumvi ya mawe inauwezo wa hali ya juu Sana ingawa watu wanaipuuzia

Me mwenyewe alimanusura inidhuru baada ya kuitumia kuzungushia kwenye eneo la kitanda changu ila sitasahau ilinifanya nisakamwe na wachawi
 
mashanajr nakuomba hapa kunaswala linahitaji ufafanuzi maana hata waganga wakienyeji,wachungaji wanaoponya wanatumia sana chumvi sijaelewa ila katika bible kunamaali Ruth alikatazwa asigeuke alipogeuka akawa jiwe la chumvi iko sababu hapa.
Aligeuzwa jiwe la chumvi ile awe faida kwa matumizi ya wengine.. Japo Bible haijafafanua ni chumvi ya aina gani
 
Chumvi ya mawe inauwezo wa hali ya juu Sana ingawa watu wanaipuuzia

Me mwenyewe alimanusura inidhuru baada ya kuitumia kuzungushia kwenye eneo la kitanda changu ila sitasahau ilinifanya nisakamwe na wachawi
Ulikosea kitu gani?.

#MaendeleoHayanaChama
 
Chumvi YA Wapi mdau, uwe inatoa ufafanuzi.
 
Chumvi ya mawe inauwezo wa hali ya juu Sana ingawa watu wanaipuuzia

Me mwenyewe alimanusura inidhuru baada ya kuitumia kuzungushia kwenye eneo la kitanda changu ila sitasahau ilinifanya nisakamwe na wachawi
Kilikukuta nini mkuu.
 
Sio lazima chumvi iwe nyeupe mzee
 
mashanajr nakuomba hapa kunaswala linahitaji ufafanuzi maana hata waganga wakienyeji,wachungaji wanaoponya wanatumia sana chumvi sijaelewa ila katika bible kunamaali Ruth alikatazwa asigeuke alipogeuka akawa jiwe la chumvi iko sababu hapa.
Hivi mke wa Lutu alipogeuka nguzo ya chumvi ni nani aliyegeuka nyuma kuthibitisha kuwa aligeuka nguzo ya chumvi [emoji848][emoji848] [emoji2369][emoji2369]
Ingawa kibibilia kugeuka nyuma inaweza kuwa na maana pana zaidi ya kugeuka kutazama nyuma. Inaweza kuwa ni kutenda yale yale ya zamani au ya nyuma ambayo yalikuwa haya mpendezi MUNGU
 
WALE WAZEE WA KUZAMA CHUMVINI WANAWEZA KUWA NA MAJIBU HUSIKA
 
Chumvi ya mawe inauwezo wa hali ya juu Sana ingawa watu wanaipuuzia

Me mwenyewe alimanusura inidhuru baada ya kuitumia kuzungushia kwenye eneo la kitanda changu ila sitasahau ilinifanya nisakamwe na wachawi
Kivipi, elezea Mkuu!
 
Ingawa kibibilia kugeuka nyuma inaweza kuwa na maana pana zaidi ya kugeuka kutazama nyuma. Inaweza kuwa ni kutenda yale yale ya zamani au ya nyuma ambayo yalikuwa haya mpendezi MUNGU
Asante hili sasa ndio jibu [emoji109][emoji109]
 
ahh basi wewe unachanganya na magadi.tunazungumzia chumvi mzee nenda uendako chumvi ni nyeupe na ueupe huo una nguvu katika ulimwengu wa roho
Hata magadi ni mazuri kuliko hata hyo chumvi, hutibu mambo mengi, ikiwemo tumbo, pia huondoa uchawi wa zongo, so ukichaganya magadi na hyo chumvi ya mabonge Matokeo yake ni makubwa zaidi, pia ukimwagia kwenye biashara inaondoa machawo yote mabaya na aliyeroga eneo lako atajua hajui huko aliko.
 
Naskia hata Kama una mdeni wako fasta tu anakulipa Ela yako unayomdai.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…