Aha ha sijapaniki madame najaribu tu kukuonyesha jinsi watu weusi msivyojitambua.Pamoja na roho mbaya ambazo mnazo ila mkiletewa polisi jeuri yote kisha vipi mkuu umapaniki upo India kwenye ile ibada yenu ya uchi kwenye maji ya Mavi.
NamasteAha ha sijapaniki madame najaribu tu kukuonyesha jinsi watu weusi msivyojitambua.
Nipo bongo hapa bongo na hizo ibada sifanyi cause am a christian.
Bharat yedu.
Wanarogeka sana tenaWahindi hawarogeki, na roho zao mbaya tuna mengi ya kujifunza kutoka kwao.
NB:-
Hela ya wizzi sio hela
Wee umekuja kutafuta kazi au kutafuta utu ???????Mbali na kusubir vyama vitutee ukweli ni kwamba hawa jamaa hawanaga utu kabisa yaan wanachojari wao ni kazi zao tu ziende bila kuzingatia haki zako za msingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliomba kazi kwa unyenyekevu and then walalama...Nashindwa kujua ni kwanini makampuni mengi utawakuta hawa jamaa ndio mabosi tena hawana utu kabisa katika kusimamia haki za wafanyakazi wao. Serikali iko wapi juu ya waajiri kama hawa tunaoteseka ni sisi wananchi zaidi tupo ndani ya Taifa letu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namaskaram tum African rhan.Namaste
Umesahau kuwa babu zenu walikuwa wanaabudu miti na mapango?
Hadi leo wanaabudu mizimu.
Bharat yedu.
NehiheNamaskaram tum African rhan.
With this pig-headed mind you are unworthy to date a Bharatian girl and on top forget about stretching their thighs.We jinga tulia acheni kujiona watofauti au superior na hiyo Bharat yenu kwendeni kwenuu mkiwa bongo behave kutokana na jamii ya bongo inavyoishi
Classes zipo Kila mahali ilah bongo maskini na tajiri tunaheshimiana huo ubharat wenu peleka India
Mazafanta
Alaf nawatafuta Sana Dada zenu lazima nije kutembezea malungu
Kila siku tunamjadili Lissu kuwa kaongea BBC sijui CNN wakati wenzenu wanatengeneza mifweza,endeleeni kujadili maisha ya Lissu atawaletea ugali mezani.Matatizo ya waafrika wengi yana sababishwa na waafirika wenyewe tuache Tabia za kulaumu watu weupe.
Tatizo mnafanya kazi bila ya mikatabaNashindwa kujua ni kwanini makampuni mengi utawakuta hawa jamaa ndio mabosi tena hawana utu kabisa katika kusimamia haki za wafanyakazi wao. Serikali iko wapi juu ya waajiri kama hawa tunaoteseka ni sisi wananchi zaidi tupo ndani ya Taifa letu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fafanua hii sentensi mkuu "hela ya wizi sio hela"Wahindi hawarogeki, na roho zao mbaya tuna mengi ya kujifunza kutoka kwao.
NB:-
Hela ya wizzi sio hela
1. Am not
namnla = namnaUkiitoa shutuma nzito namnla hiyo bila kuweka chembe ya ushahidi ni pengine huelewi maana ya utu ni nini.
Au hivyo ulivyofanya wewe ndiyo utu?
Kwani wewe umekatazwa kufanya hayo mkuu ama ndo unajivisha joho la uzalendo baada ya chombo kwenda alojojo!!?Hamna shida kubwa kama kuongozwa na masikini mwenzio, ni bora mtu aliezoea maisha ya juu awe kiongozi wako wewe mwenye hali ya chini kuliko fukara mwenzako aliepata upenyo hivi majuzi kuwekwa juu yako.
Wahindi ni masikini wa kutupwa India ni Taifa la kwanza ulimwenguni kua na idadi kubwa ya masikini yaani India wapo poorer of the poorest ambao masikini wa huku Tanzania ni matajiri kwao
Pamoja na mapungufu yetu mengi ila ukilinganisha na mapungufu waliyonayo wahindi, watanzania tunaonekana hatuna tatizo, wahindi wamefanikiwa kwenye hii nchi sababu tu ya udhaifu wa serikali zetu zilizopita wala sio kwamba wana cha tofauti saana kutuzidi wala nini, rushwa, ufisadi, wizi, dhulma ndio mazingira ambayo yanamfanya muhindi afanikiwe kwa urahisi.
Lakini pia watanzania acheni uvivu hasa watanzania wa maeneo ya mwambao.
Duh.. Bora nikomae na forex tu ambayo nikakomaa kumake $10 kila siku kwa mwezi ntakuwa na $200 sawa na laki 5 kasoroJamani kama tunaofanya kazi viwanda vya MO mbona jasho linatutoka? Mshahara ni laki unusu tena supervisor yaani shillings 150,000 kwa mwezi
Very simple, fungua na wewe kampuni yako na wewe uwe muhindi kwenye kampuni yakoNashindwa kujua ni kwanini makampuni mengi utawakuta hawa jamaa ndio mabosi tena hawana utu kabisa katika kusimamia haki za wafanyakazi wao. Serikali iko wapi juu ya waajiri kama hawa tunaoteseka ni sisi wananchi zaidi tupo ndani ya Taifa letu.
Sent using Jamii Forums mobile app