Kuna siri gani kwa wahindi

🤣🤣🤣Umenikumbusha Kuna mdada tulikuwa tunamuita Rehema mwepesi jamanii alikuwa anafanya kazi yule dada wahindi walikuwa wanamlipa pesa ya ziada kwa ufanyaji wake wa kazi, watu walio bahatika kwenda nyumbani kwake walikuwa wanasema nyumba nzima kaeneza ndoo za maji hana maendeleo.
 
caste system
 
Bora mtu mweusi kuliko muhindi,waarabu ndo zaidi ya wabongo


Wahindi most of them ni watu wabaya sana yani wanaroho mbaya balaa,inshort siwapendi hawa watu..... ila na sisi pia tusijisahau wengi wetu tunaroho mbaya, katili kuliko jamii yeyote ile na sio watu wa kazi, tunapenda kulala na kulalamika/kunung'unika....Kwa upande wa waarabu sioni kama wanatatizo huwa mnawasingizia tu, ni watu wenye busara nyingi wasiopenda ujinga ujinga, na isitoshe wamejichanganya sana na sisi, pia wameowa dada zetu, nasi tumeowa kwao.
 


🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa maelezo yako inaonyesha una roho mbaya na chuki kuliko hao Wahindi unaowalalamikia.
Nasemaje mtaendeshwa mpaka akili iwakae.
 
Kwa maelezo yako inaonyesha una roho mbaya na chuki kuliko hao Wahindi unaowalalamikia.
Nasemaje mtaendeshwa mpaka akili iwakae.
Pamoja na roho mbaya ambazo mnazo ila mkiletewa polisi jeuri yote kisha vipi mkuu umapaniki upo India kwenye ile ibada yenu ya uchi kwenye maji ya Mavi.
 
Ahaaaahaaaaaaaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji44]

Daaah haki nimecheka kifala[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndo zao hao! Hakuna aliyefanya kazi kwa mhindi akawa na maendeleo never ever!

Kuna jamaa alijitahidi akafungua bar kwao huko Morogoro, siku ya uzinduzi ikaungua moto! Na alikuwa anatangaza ofisini, watu wanamwambia wewe kausha usiongee mambo yako!

Shikamoo mhindi[emoji60][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣Hao Wahindi wanatuonea sisi tu nenda Dubai wanatia huruma nywele Zina nyonyoka kwa kufagia barabarani unafanya basihara na jua la Nchi za kiarabu 😅😅waki toka huko sasa hasira wanakuja kumaliza kwetu.
 
[emoji1787][emoji1787]Hao Wahindi wanatuonea sisi tu nenda Dubai wanatia huruma nywele Zina nyonyoka kwa kufagia barabarani unafanya basihara na jua la Nchi za kiarabu [emoji28][emoji28]waki toka huko sasa hasira wanakuja kumaliza kwetu.
Dubai wamejazana balaa, wanafagia barabara wakitua bongo wanakuwa ma accountant yaaan[emoji134][emoji134][emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angetoa m5 tu akajikinge na lolote baya watakalomfanyia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angetoa m5 tu akajikinge na lolote baya watakalomfanyia

Sent using Jamii Forums mobile app
Mchaga yule sijui ilikuwaje yaan...wamebaki wanajisifia tu kuwa mwizi wao amekuwa chizi..

Wabongo wanapenda sana kujipendekeza, wao hao hao staff ndo walimuona huko posta kawa chizi, eti wakaja kuwambia wahindi, ili iweje sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…