Kuna siri gani katika kuivuruga vuruga Elimu yetu ?

Kuna siri gani katika kuivuruga vuruga Elimu yetu ?

Patrice Diounis

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2023
Posts
1,070
Reaction score
2,210
FB_IMG_17932084010487123.jpg
Kuna mwenye taarifa yenye kueleweka kuhusu hili jambo ?, maana kila niliposoma taarifa hii sijawaelewa wahusika .
 
Elimu msingi inaenda mpka kidato cha nne yaani 1-6 na 7-10 ( form 1 mpka 4)
 
Primary School = Shule ya Msingi
Secondary School = Shule ya Upili

Kwa pamoja zote ni elimu ya msingi
 
Back
Top Bottom