Kuna siri ambayo wanaume hawaijui kuhusu wanawake.

Kuna siri ambayo wanaume hawaijui kuhusu wanawake.

Huu ni utafiti ama?mana hiyo 21-24 sioni kama inaelekeana na ukweli kabisa

Itakuwa umri wako unacheza hiyo maeneo maana unapambana kutetea wote wawili wameshikia bango n miaka ya wenge hata km n kweli haiwagi n wote
 
Itakuwa umri wako unacheza hiyo maeneo maana unapambana kutetea wote wawili wameshikia bango n miaka ya wenge hata km n kweli haiwagi n wote

Sio kwa wote
 
Sawa, hongera yako wewe unayeyafahamu!!
[emoji3532]Wanawake wenye umri wa miaka 18 hadi 22 wana mapenzi ya kweli.

[emoji3532]Wanawake wenye miaka 22 hadi 24 wana mawenge.

[emoji3532]Wanawake wenye miaka 24 hadi 27 wanajitambua.

[emoji3532]Wanawake wenye miaka 27 hadi 30 wana hofu na mashaka mengi.

[emoji3532]Wanawake wenye miaka 30 hadi 35 wana msongo wa mawazo.

[emoji3532]Wanawake wenye miaka 35 hadi 42 ndoa nyingi huvunjika.

[emoji2410]Kwa hiyo, kuwa makini na wanawake na wanaume hasa wanawake na wanaume wa kundi la sita. Wanawake na wanaume wa kundi la sita, wengi wao wana DNA ya wapenzi wao wa zamani.

Je wewe uko kundi gani ????
 
Tungependa kujua waluongea nini na shetani zaidi ya yale mazungumzo ya yale ya tunda? Maana Mungu mwenyewe alisema tuishi nao kwa akili.
 
Wale wa 45-50, na 50-60 mbona mme watenga? .... ni wajuvi wa mambo mjue! Heee!
Wanatutatulia sana shida zetu.
 
Back
Top Bottom