makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,506
- 108,662
Sasa mkuu, wasiburudike, ajabu nin hapo?
Kwenye timu ya taifa ya Tanzania au unamanisha nchi zingine hearsay tu,........nitajie dakitari moja katika ligi kuu ya England anae cheza mpira mkuu, kuna kozi zingine hubakizi mda wa mazoezi ya kutosha
Mbona unachangua jibu litoke kwenye ligi kuu ya england tu ? Huku mimi nimeongelea timu za taifa ? Na olimpic
Hiyo screenshot kutoka kwenye official website ya FIFA