BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 7,983
- 20,050
Najambaa.Hujambi? BICHWA KOMWE -
Najambaa.Hujambi? BICHWA KOMWE -
Ahahaha dokta hujawahi kukutana na mkasa wa "haujambi"?Suriyama la kijerumani hilo na tambo zake za hapa na pale
Duh kwa umri wako haukutakiwa kuandika vitu vya hivi, kama unamla mwanamke ambaye amestaff likely wewe una 70 yrs ama zaidiMwaka 2000 nilikuwa namtongoza dada mmoja, alikuwa katibu mkuu wa wizara fulani, nilikuwa namtaka mno.
Sasa nikamtumia sms ya kumsalimia, badala ya kuandika hujambo? nikamuandikia hujambi?Aisee nikapokea jibu kuwa, najamba.
Duh kuja kuangalia ile meseji yangu nilisikia aibu, but nilifanikiwa kumla huyo mama na mpaka leo tupo na urafiki japo naye kastaafu yupo Mwanza.
Anazeeka vibaya mbwa huyoHuyu jamaa km ana mtindio wa ubongo post nyingi ni kujisifia mara anapika chapati za mayai ooh nilicheza utotoni na Rostam Aziz sasa hizi private life zake sijui zinatusaidia nini ? na hapo anatamba alikuwa Mhadhiri vyuo vikuu vya nje ! sijui alikuwa anafundisha ugaidi !
Kuna jambo halipo sawaHapana,yeye kawa mzee sana ila tunatembeleana na tunapigana busu na romansi za hapa na pale
Nakutana nazo sana dada ,haswa siku za mwisho wa jumaAhahaha dokta hujawahi kukutana na mkasa wa "haujambi"?