Kuna siku nilidobanga kwa mwanamke

Kuna siku nilidobanga kwa mwanamke

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
5,614
Reaction score
7,173
Mwaka 2000 nilikuwa namtongoza dada mmoja, alikuwa katibu mkuu wa wizara fulani, nilikuwa namtaka mno.

Sasa nikamtumia sms ya kumsalimia, badala ya kuandika hujambo? nikamuandikia hujambi?Aisee nikapokea jibu kuwa, najamba.

Duh kuja kuangalia ile meseji yangu nilisikia aibu, but nilifanikiwa kumla huyo mama na mpaka leo tupo na urafiki japo naye kastaafu yupo Mwanza.
 
Kwa hio ulikua unataka kusemaje hapo?
Huyu jamaa km ana mtindio wa ubongo post nyingi ni kujisifia mara anapika chapati za mayai ooh nilicheza utotoni na Rostam Aziz sasa hizi private life zake sijui zinatusaidia nini ? na hapo anatamba alikuwa Mhadhiri vyuo vikuu vya nje ! sijui alikuwa anafundisha ugaidi !
 
Sio Bill Lugano huyu kweli au Kiduku lilo mmemchunguza vizuri?
 
Kujisifia sio mtindio wa ubongo bali ndio hali halisi,kwani wewe hata kiswahili hujui,kwamba jisifie mwenyewe kabla ya kusiwa.Yaelekea wewe una shida kwenye ubongo wako kwamba hupendi kusoma nyuzi za mtu kujisifia,hilo ni tatizo lako bro
 
Huyu jamaa km ana mtindio wa ubongo post nyingi ni kujisifia mara anapika chapati za mayai ooh nilicheza utotoni na Rostam Aziz sasa hizi private life zake sijui zinatusaidia nini ? na hapo anatamba alikuwa Mhadhiri vyuo vikuu vya nje ! sijui alikuwa anafundisha ugaidi !
Sio najisifia kuwa nilikuwa mhadhiri nje ya nchi,ni kweli kuwa nilikuwa,ila ugaidi sijawahi kufundisha kwani shule nilizofundusha hazina urafiki na ugaidi,ndugu punguza nyodo,destiny ya mtu hapangi mtu ni Mungu ndio alipanga iwe hivyo
 
Haya Mkuu funguka huko nje ulikuwa unafundisha nini ?
 
Sijui kama umewahi kusoma nyuzi zangu vizuri,sijui hata kama unajua usuli wa maisha yangu?Sijui kama unajua kuwa mimi ni suriyama wa kinyamwezi na kijerumani?.Kabla sijakwambia nilikuwa nafundisha nini,hebu tumia muda wako kidogo kusoma mimi ni nani,kwani mie sio mtu wa majisifu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom