kuna sehemu ukienda macho huona mashariki ni magharibi namagharibi ni mashariki

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,746
mimi kuna mikoa nimeishi mpaka naondoka sijawahi kujua magharibi ni wapi na mashariki ni wapi,

ila tu niliamini kutokana na jua linapochomoza na kuzama, nimeishi dar lakini nikiwa msasani nakuwa macho yanakubali vizuri kwamba jua linazamia upande wa kawe lakini nikienda gongo la mboto naona tena jua likienda kuzamia upanda wa mbezi, yaani mpaka leo hii sijawahi kuelewa hii ipoje,


Sent from my TECNO CA8 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom