Kuna sababu zipi za msingi zilizofanya Serikali yetu iipe uzito mkubwa sana kesi iliyofunguliwa na Tundu Lissu dhidi ya Spika Ndugai?

Kifupi tundu lisu angekuwa anybody hata president Lakini yeye na zito kabwe,halima mdee,mbowe ,Seif sharriff ,Lowasa,Hamad nk waliingia vyama vya watu ambao hawakupigania Uhuru wa Tanganyika au Zanzibar.Mangi mumiliki wa chadema alipinga Tanganyika isipate uhuru umoja wa mataifa kumpinga Nyerere asipewe Uhuru .Makabila baki ndio yaliipambana chini ya nyerere ndio tulipambana kufa na kupona tanganyika iwe huru.Wasukuma chini ya familia ya Rupia ndio waligharamia safari za Nyerere umoja wa mataifa na CUF ile iliyokuwavchini ya maalimu Seif ambayo Sasa wamekimbilia ACT wazalendo hawakushiriki kumtoa sultan zanzibar wakati karume na waswahili Zanzibar wakibeba mashoka na marungu kumtwanga sultani wapemba walikuwa wanatafuna tambuu na kunywa kahawa na Watoto wa sultani .Lisu kajiunga na watu ambao walipinga nchi isipate uhuru tutapambana naye Hadi atukome.Uhuru tumeupata nchi iko vizuri wapemba na wachaga ndio wanataka nchi wakati hawakushiriki kutafuta Uhuru .Walie Tu na supporters wao.Kama hukushiriki kutafuta Uhuru au ukajiunga na ambao hawakushiriki kutafuta Uhuru to hell with you and tundu lissu.Tutatumia nguvu zote kuhakikisha you are out uwe ubegiji or whatever
 
Acha Mawazo Mgando wewe.... Speaker alikaririwa kwa kinywa chake alisema Bunge limechanga million 40 za matibabu ya Lisu...Unaweza kutuambia alikua anamaanisha nini kusema million 40
Kuchanga milioni 40 sio ndo kujua alipo huo ulikuwa ni utu tu. Huwezi ukaubadili utu kuwa sheria. Speaker anadai hajui aliko kisheria sio kiutu, na ofisini kwake hakuna nyaraka ya ruhusa na tamko la mali na madeni. So watamlazimisha anavyo?

Usiijadili hii hoja kisiasa na kiutu. Taratibu zinataka nini? Nawe ndicho ufanye. Usilete kigezo cha huruma za kibinadamu kuhalalisha matakwa ya kisheria.

Katka utumishi wa umma, ikitokea ukaugua na ukajipa referal mwenyewe kwenda hosptal ingine tofauti na taratibu za kiutumishi jua kuwa utajigharamia mwenyewe. Na hata kama boss wako alikuja kukusalimia hospitali, kama ikitokea ukashtakiwa hukuomba ruhusa na nyaraka ya ruhusa haimo kwenye faili lako jua kuwa imekula kwako. Huwezi sema hata boss alikuja kunijulia hali. Swali ni ulitimiza matakwa ya kiutumishi ie. Ulipeleka barua ya ruhusa..!?

So, usigeuze ubinadamu/utu kuwa ndo hitaji la kisheria.

Ishu, boss wako hana nyaraka za ruhusa na tamko lako la mali na madeni. So, utamlazimisha anavyo.!? Na unajinasuaje kwa mfano kwenye huo mtego..!!!?
 
Aisee.
Kweli kabisa unauliza swali kama hili
Kifupi kujiunga na chama chochote ruksa ila uraisi ukiutaka Tanganyika au Zanzibar jiulize hicho chama unachojiunga wamiliki walishiriki kupigania Uhuru ? Chadema No CUF no ACT wazalendo No kwa hiyo uraisi NO ubunge na uwakilishi ruksa Uraisi Zanzibar na muungano Big No
 
Kifupi kujiunga na chama chochote ruksa ila uraisi ukiutaka Tanganyika au Zanzibar jiuize hicho chama unachojiunga wamiliki walishiriki kupigania Uhuru ? Chadema No CUF no ACT wazalendo No kwa hiyo uraisi NO ubunge na uwakilishi ruksa Uraisi Zanzibar na muungano Big No
Sasa wewe unasema hadharani kuwa Chadema, CUF na ACT wazalendo, hawawezi kupewa urais wa nchi hii, kwa kutumia ballot boxes!

Wewe umetuthibitishia beyond reasonable doubt,kuwa kumbe zoezi zima la kufanya uchaguzi Mkuu huwa ni usanii mtupu na kutupotezea wananchi muda wetu!

Ni vyema basi mkatangaza kuwa nchi hii ni ya mfumo wa Chama kimoja, badala ya sasa hivi kusema kuwa nchi hii ni ya mfumo wa vyama vingi kiusanii. OVA
 
Ikitokea spika akakili mbele ya mahakama hajui Lisu alipo, nini kitatokea? Au watamlazimisha akubali? Maana kimsingi spika ndie shahid mihim kwa lisu.
Alishachelewa imekuwaje unamlipa zaidi ya mwaka mtu ambaye haujui mahali alipo? Uliposema utaenda kumtembelea huko Nairobi ulitaka kutembelea nin ? ni maswali hayo tuu yatamrudisha Ndugai kwenye mstari.
 
1. Ni kwanini serikali ndiyo iweke mawakili, tena wengi kiasi hicho katika kesi ambayo "haiwahusu" kwa kuwa anayeshitakiwa ni Spika wa Bunge, ambapo Bunge hilo ni mhimili mwingine na Bunge hilo lina mawakili wake, ambao wangweza kumsimamia kikamilifu Spika Ndugai?

Jibu langu kwa swali la kwanza..
Serikali pia imeshitakiwa, kwani mshitakiwa wa pili ktk kesi hiyo ni Mwanasheria mkuu wa serikali
Nimekubali kuwa mshitakiwa wa pili ni mwanasheria Mkuu wa serikali.

Swali langu bado liko pale pale, je ni sababu zipi zinazofanya serikali hii itoe umuhimu mkubwa kwa kesi hii, hadi iweke rekodi kwa kuwakusanya mawakili 15 kumtetea Spika Ndugai na huyo mwanasheria Mkuu??

Ndugu nimeamua kujibu swali la kwanza kama ulivouliza..
Labda tu nikuambie kwamba Kichwa cha habari cha mada kina mantiki na kinajieleza vema tatizo umeingiza ushabiki na kuleta maswali ya kipumbavu kama hilo la kwanza...
Mimi niliposoma swali la kwanza tuu nikagundua kiwango kikubwa cha ushabiki uongo na uzandiki... nikaishia hapo sikusoma tena hata nukta moja zaidi ndio maana nikasema jibu langu kwa swali la kwanza
Unajua kwa nini niliishia hapo ...
Kwamba umeweza kujua Siku na tarehe ya kesi.. umeweza kujua idadi ya mawakili.. umeweza kuja kwamba idadi hiyo ni rekodi .. lakini umejifanya hujui kwamba serikali pia ni mshtakiwa.. ni wazi ulikusudia kupotosha...FANATISM..
You are not RATIONAL umepoteza haki ya mada yako kujadiliwa kwa weledi
Nami nikachagua cha kujibu...
Angalia wengine wamechangia nini najua mko wengi wenye akili kama wewe...
Narudia... Jibu langu ni mujarrabu kwa swali lako la kwanza.
 
1. Ni kwanini serikali ndiyo iweke mawakili, tena wengi kiasi hicho katika kesi ambayo "haiwahusu" kwa kuwa anayeshitakiwa ni Spika wa Bunge, ambapo Bunge hilo ni mhimili mwingine na Bunge hilo lina mawakili wake, ambao wangweza kumsimamia kikamilifu Spika Ndugai?

Jibu langu kwa swali la kwanza..
Serikali pia imeshitakiwa, kwani mshitakiwa wa pili ktk kesi hiyo ni Mwanasheria mkuu wa serikali

Ndugu nimeamua kujibu swali la kwanza kama ulivouliza..
Labda tu nikuambie kwamba Kichwa cha habari cha mada kina mantiki na kinajieleza vema tatizo umeingiza ushabiki na kuleta maswali ya kipumbavu kama hilo la kwanza...
Mimi niliposoma swali la kwanza tuu nikagundua kiwango kikubwa cha ushabiki uongo na uzandiki... nikaishia hapo sikusoma tena hata nukta moja zaidi ndio maana nikasema jibu langu kwa swali la kwanza
Unajua kwa nini niliishia hapo ...
Kwamba umeweza kujua Siku na tarehe ya kesi.. umeweza kujua idadi ya mawakili.. umeweza kuja kwamba idadi hiyo ni rekodi .. lakini umejifanya hujui kwamba serikali pia ni mshtakiwa.. ni wazi ulikusudia kupotosha...FANATISM..
You are not RATIONAL umepoteza haki ya mada yako kujadiliwa kwa weledi
Nami nikachagua cha kujibu...
Angalia wengine wamechangia nini najua mko wengi wenye akili kama wewe...
Narudia... Jibu langu ni mujarrabu kwa swali lako la kwanza.
Okay Mkuu, umejieleza vyema kuwa na serikali ni mshitakiwa wa pili, kwa maana ya Mwanasheria Mkuu

Sasa ningeomba unijibie swali la 4 nililoiluliza, ni kipi kipaumbele cha seriikali, ni kesi ya Tundu Lissu, au ni kesi ya kukamatwa kwa ndege yetu Afrika Kusini??

Kama ni kesi ya kukamatiwa ndege yetu Africa Kusini, ni kwanini hawajafanya juhudi kubwa ya kuinusuru ndege yetu iliyokamatwa, kama hizi juhudi tunazoziona, kwenye kesi ya Tundu Lissu??

Je serikali ina "interest" gani kubwa kwenye kesi ya Lissu, hadi ilete "rundo" la mawakili hao??
 
Kwa sababu CHADEMA hawana kete maalum ya kuombea kura Lissu kupigwa risasi ndio tumain lao.

ZITTO YUPO NA MASWALA ZAIDI SIO MATUKIO.

Salamu kwa lissu, yericko na mnyika kijana mwelevu.
 
okiwikuost: 32614251 said:
Kwa sababu CHADEMA hawana kete maalum ya kuombea kura Lissu kupigwa risasi ndio tumain lao.

ZITTO YUPO NA MASWALA ZAIDI SIO MATUKIO.

Salamu kwa lissu, yericko na mnyika kijana mwelevu.
Hivi umewahi kuona mtu anajisacrifice kupigwa risasi zote zile, kama alizopigwa Tundu Lissu, kwa manufaa ya kisiasa??

Ama kweli nyiye UVCCM, baada ya kuona risasi "zenu" mlizompiga Lissu, hajafa, ndiyo mmemnyang'anya na ubunge wake kabisa!

Hata hivyo atapambana na kuurejesha ubunge wake mliomdhulumu, kwa kuwa nguvu za Mungu wetu, aliyemponyesha na zile "mvua" za risasi, ndizo zitakazomrejeshea ubunge wake.

Kwa kuwa yeye Mungu wetu ndiye Mkuu, kuliko kitu chochote kile, na ni mtenda miujiza
 
Okay Mkuu, umejieleza vyema kuwa na serikali ni mshitakiwa wa pili, kwa maana ya Mwanasheria Mkuu

Sasa ningeomba unijibie swali la 4 nililoiluliza, ni kipi kipaumbele cha seriikali, ni kesi ya Tundu Lissu, au ni kesi ya kukamatwa kwa ndege yetu Afrika Kusini??

Kama ni kesi ya kukamatiwa ndege yetu Africa Kusini, ni kwanini hawajafanya juhudi kubwa ya kuinusuru ndege yetu iliyokamatwa, kama hizi juhudi tunazoziona, kwenye kesi ya Tundu Lissu??

Je serikali ina "interest" gani kubwa kwenye kesi ya Lissu, hadi ilete "rundo" la mawakili hao??
Samahani baada ya kuona nia ya kupotosha ya mtoa mada niliishia swali la kwanza baasi..
Sina mpango wa kuongeza hata herufi moja. Wewe nakujibu kwa sababu napata notification kuna mtu ameni'QUOTE'
Falsafa yangu ni moja ukinidanganya kwenye kitu ninachokijua sina haja kusikiliza au kuamini nisiyoyajua.... fullstop.
 
Urais Urais Urais Urais Jiwe tumbo moto. Yule aliyekoswa kwa risasi ndiye atakayechimba kaburi la kuliweka Jiwe likiwa linang'aa macho.

Ukweli ni kuwa wanaona mbali. Huyo jamaa ataungwa mkono na Tanzania yote. Trust me! kaburi la jiwe li wazi labda jaji auawe au atekwe!
"labda jaji auawe au atekwe"!.Atabadilishwa,watamweka atakayetii maagizo,halafu baadae ATAULA:)
 
Kuchanga milioni 40 sio ndo kujua alipo huo ulikuwa ni utu tu. Huwezi ukaubadili utu kuwa sheria. Speaker anadai hajui aliko kisheria sio kiutu, na ofisini kwake hakuna nyaraka ya ruhusa na tamko la mali na madeni. So watamlazimisha anavyo?

Usiijadili hii hoja kisiasa na kiutu. Taratibu zinataka nini? Nawe ndicho ufanye. Usilete kigezo cha huruma za kibinadamu kuhalalisha matakwa ya kisheria.

Katka utumishi wa umma, ikitokea ukaugua na ukajipa referal mwenyewe kwenda hosptal ingine tofauti na taratibu za kiutumishi jua kuwa utajigharamia mwenyewe. Na hata kama boss wako alikuja kukusalimia hospitali, kama ikitokea ukashtakiwa hukuomba ruhusa na nyaraka ya ruhusa haimo kwenye faili lako jua kuwa imekula kwako. Huwezi sema hata boss alikuja kunijulia hali. Swali ni ulitimiza matakwa ya kiutumishi ie. Ulipeleka barua ya ruhusa..!?

So, usigeuze ubinadamu/utu kuwa ndo hitaji la kisheria.

Ishu, boss wako hana nyaraka za ruhusa na tamko lako la mali na madeni. So, utamlazimisha anavyo.!? Na unajinasuaje kwa mfano kwenye huo mtego..!!!?

Unataka kutuambia kwamba Speaker anapokwenda kuangalia mpira uwanjani anakuwa sio speaker sababu pale uwanjani sio bungeni?
 
Habari iliyostua sana katika kesi iliyofunguliwa na Tundu Lissu siku chache zilizopita, dhidi ya Spika Ndugai, ni kusikia kuwa walikuwepo mawakiki 15, kutoka ofisi ya mwanasheria mkuu, akiwemo Mwanasheria Mkuu mwenyewe, wakimtetea Spika Ndugai,dhidi ya mawakili 4 tu wanaomtetea Tundu Lissu, katika kesi iliyofunguliwa ya kupinga kuvuliwa ubunge wake

Kwa mujibu wa duru za kimahakama ni kuwa idadi hiyo ya mawakili, imevunja rekodi, kwa kuwa haijawahi shuhudiwa, katika mahakama hiyo, kwa mawakili wengi kiasi hicho kusimamia kesi.moja.

Sisi wananchi tungeiomba serikali yetu itujibie maswali yafuatayo:-

1. Ni kwanini serikali ndiyo iweke mawakili, tena wengi kiasi hicho katika kesi ambayo "haiwahusu" kwa kuwa anayeshitakiwa ni Spika wa Bunge, ambapo Bunge hilo ni mhimili mwingine na Bunge hilo lina mawakili wake, ambao wangweza kumsimamia kikamilifu Spika Ndugai??

2. Iweje serikali iweke mawakili wengi kiasi hicho, kwa ajili tu ya kuweka mapingamizi ili kesi hiyo isisikilizwe. Je serikali wanaogopa nini, ikiwa kesi hiyo itasikilizwa??

3. Kama mawakili hao wa serikali wanajiamini kuwa ni nguli kisheria, si wasubiri kesi ya msingi ianze, ndiyo waonyeshe umahiri wao na kuwashinda mawakili wanne pekee wa Tundu Lissu??

4. Hivi kuna mantiki gani kwa serikali hii kuweka nguvu zote hizo kwa kesi inayohusu Mbunge mmoja tu kulalamikia kuvuliwa ubunge wake wakati huu ambapo tumesikia kuwa lipo jambo "very serious" la ndege yetu, ambayo imenunuliwa kwa kodi zetu, imekamatwa huko Afrika Kusini, kwa ajili ya madeni tunayodaiwa??

5. Hivi si ingekuwa busara zaidi kwa serikali yetu kutoa uzito mkubwa, katika suala hilo la ndege, ambalo ninaamini ndilo lenye maslahi mapana zaidi kwa Taifa letu, kwa vile limetuweka katika sura mbaya sana kimataifa, kwa vile Taifa letu haliaminiki tena, kwa kuwa dunia nzima imeshafahamu kuwa nchi yetu hivi sasa ni "wakachaji" wa kulipa madeni tunayodaiwa??
Panapo fuka moshi bana!
 
Back
Top Bottom