Kuna sababu zipi za msingi zilizofanya Serikali yetu iipe uzito mkubwa sana kesi iliyofunguliwa na Tundu Lissu dhidi ya Spika Ndugai?

Jibu
Habari iliyostua sana katika kesi iliyofunguliwa na Tundu Lissu siku chache zilizopita, dhidi ya Spika Ndugai, ni kusikia kuwa walikuwepo mawakiki 15, kutoka ofisi ya mwanasheria mkuu, akiwemo Mwanasheria Mkuu mwenyewe, wakimtetea Spika Ndugai,dhidi ya mawakili 4 tu wanaomtetea Tundu Lissu, katika kesi iliyofunguliwa ya kupinga kuvuliwa ubunge wake

Kwa mujibu wa duru za kimahakama ni kuwa idadi hiyo ya mawakili, imevunja rekodi, kwa kuwa haijawahi shuhudiwa, katika mahakama hiyo, kwa mawakili wengi kiasi hicho kusimamia kesi.moja.

Sisi wananchi tungeiomba serikali yetu itujibie maswali yafuatayo:-

1. Ni kwanini serikali ndiyo iweke mawakili, tena wengi kiasi hicho katika kesi ambayo "haiwahusu" kwa kuwa anayeshitakiwa ni Spika wa Bunge, ambapo Bunge hilo ni mhimili mwingine na Bunge hilo lina mawakili wake, ambao wangweza kumsimamia kikamilifu Spika Ndugai??

2. Iweje serikali iweke mawakili wengi kiasi hicho, kwa ajili tu ya kuweka mapingamizi ili kesi hiyo isisikilizwe. Je serikali wanaogopa nini, ikiwa kesi hiyo itasikilizwa??

3. Kama mawakili hao wa serikali wanajiamini kuwa wako makini kisheria, si wasubiri kesi ya msingi ianze, ndiyo waonyeshe umahiri wao na kuwashinda mawakili wanne pekee wa Tundu Lissu??

4. Hivi kuna mantiki gani kwa serikali hii kuweka nguvu zote hizo kwa kesi inayohusu Mbunge mmoja tu kulalamikia kuvuliwa ubunge wake wakati huu ambapo tumesikia kuwa lipo jambo "very serious" la ndege yetu, ambayo imenunuliwa kwa kodi zetu, imekamatwa huko Afrika Kusini, kwa ajili ya madeni tunayodaiwa??

5. Hivi si ingekuwa busara zaidi kwa serikali yetu kutoa uzito mkubwa, katika suala hilo la ndege, ambalo ninaamini ndilo lenye maslahi mapana zaidi kwa Taifa letu, kwa vile limetuweka katika sura mbaya sana kimataifa, kwa vile Taifa letu haliaminiki tena, kwa kuwa dunia nzima imeshafahamu kuwa nchi yetu hivi sasa ni "wakachaji" wa kulipa madeni tunayodaiwa??
Jibu langu kwa swali la kwanza..
Serikali pia imeshitakiwa kwani mshitakiwa wa pili ktk kesi hiyo ni Mwanasheria mkuu wa serikali
 
Nimekubali kuwa mshitakiwa wa pili ni mwanasheria Mkuu wa serikali.

Swali langu bado liko pale pale, je ni sababu zipi zinazofanya serikali hii itoe umuhimu mkubwa kwa kesi hii, hadi iweke rekodi kwa kuwakusanya mawakili 15 kumtetea Spika Ndugai na huyo mwanasheria Mkuu??
 
Hiki mojawapo kati ya viashiria vingi, ambavyo vinavyojidhihirisha na vinatoa tahadhari juu ya usalama wa Tundu Lissu endapo atarudi nchini bila ya kuhakikishiwa usalama wake.
Na hiyo ndio shida, sitaki kuamini kuwa changomoto za nchi yetu zinasababishwa na mtu mmoja hadi serikali kutumia nguvu nyingi ku deal na mtu mmoja kiasi hicho. Kuna mawili either TL is too strong kwa serikali au serikali too weak hivyo wanafanya collective power to handle that case at early stage.
Sijui bado najifunza.
 
Hiyo ni kweli kabisa

Na hasa utamu utakuja pale mahakama itakapoanza kuisikiliza kesi yenyewe, ambapo Tundu Lissu anamtaka Spika Ndugai aje atoe ushahidi mahakamani, kuwa yeye Spika hajui alipo Tundu Lissu
Ikitokea spika akakili mbele ya mahakama hajui Lisu alipo, nini kitatokea? Au watamlazimisha akubali? Maana kimsingi spika ndie shahid mihim kwa lisu.
 
Nimekubali kuwa mshitakiwa wa pili ni mwanasheria Mkuu wa serikali.

Swali langu bado liko pale pale, je ni sababu zipi zinazofanya serikali hii itoe umuhimu mkubwa kwa kesi hii, hadi iweke rekodi kwa kuwakusanya mawakili 15 kumtetea Spika Ndugai na huyo mwanasheria Mkuu??
Acha kujiulizisha maswali wakati unajua kabisa sababu ya msingi ni Lisu kujipa u-homorapa.
 
Habari iliyostua sana katika kesi iliyofunguliwa na Tundu Lissu siku chache zilizopita, dhidi ya Spika Ndugai, ni kusikia kuwa walikuwepo mawakiki 15, kutoka ofisi ya mwanasheria mkuu, akiwemo Mwanasheria Mkuu mwenyewe, wakimtetea Spika Ndugai,dhidi ya mawakili 4 tu wanaomtetea Tundu Lissu, katika kesi iliyofunguliwa ya kupinga kuvuliwa ubunge wake

Kwa mujibu wa duru za kimahakama ni kuwa idadi hiyo ya mawakili, imevunja rekodi, kwa kuwa haijawahi shuhudiwa, katika mahakama hiyo, kwa mawakili wengi kiasi hicho kusimamia kesi.moja.

Sisi wananchi tungeiomba serikali yetu itujibie maswali yafuatayo:-

1. Ni kwanini serikali ndiyo iweke mawakili, tena wengi kiasi hicho katika kesi ambayo "haiwahusu" kwa kuwa anayeshitakiwa ni Spika wa Bunge, ambapo Bunge hilo ni mhimili mwingine na Bunge hilo lina mawakili wake, ambao wangweza kumsimamia kikamilifu Spika Ndugai??

2. Iweje serikali iweke mawakili wengi kiasi hicho, kwa ajili tu ya kuweka mapingamizi ili kesi hiyo isisikilizwe. Je serikali wanaogopa nini, ikiwa kesi hiyo itasikilizwa??

3. Kama mawakili hao wa serikali wanajiamini kuwa wako makini kisheria, si wasubiri kesi ya msingi ianze, ndiyo waonyeshe umahiri wao na kuwashinda mawakili wanne pekee wa Tundu Lissu??

4. Hivi kuna mantiki gani kwa serikali hii kuweka nguvu zote hizo kwa kesi inayohusu Mbunge mmoja tu kulalamikia kuvuliwa ubunge wake wakati huu ambapo tumesikia kuwa lipo jambo "very serious" la ndege yetu, ambayo imenunuliwa kwa kodi zetu, imekamatwa huko Afrika Kusini, kwa ajili ya madeni tunayodaiwa??

5. Hivi si ingekuwa busara zaidi kwa serikali yetu kutoa uzito mkubwa, katika suala hilo la ndege, ambalo ninaamini ndilo lenye maslahi mapana zaidi kwa Taifa letu, kwa vile limetuweka katika sura mbaya sana kimataifa, kwa vile Taifa letu haliaminiki tena, kwa kuwa dunia nzima imeshafahamu kuwa nchi yetu hivi sasa ni "wakachaji" wa kulipa madeni tunayodaiwa??

Kiti cha urais ni kitamu sana. Sasa Lissu alikuwa tishiyo kwa nafasi hiyo ndiyo maana alipigwa risasi nyingi kuliko ambavyo tembo angapigwa. Sasa wanaona akishinda, tarajio lao litakuwanmatatani.
 
Wewe unasema muda wake uishe ili aondoke??

Kwani wewe hukumsikia jinsi alivyosema kuwa "haoni" mtu atakayeendeleza kasi yake.......

Hiyo ni "indicator" kuwa anataka kujiongezea muda wa kutawala
Tunaingia kichakani.
 
Mawakili wa serikali kumi na sita kila risasi iliomuingia lissu wakili mmoja, serikali ya makanikia ni ya ajabu sana, halafu mawakili wanaomba kesi iendeshwe kiswahili like father like son.
 
Hakuna namna ya mawakili wa Lissu wapinge kesi iendeshwe kwa kiingereza?hao kwenye yai wabovu.
 
Wingi wao kwenye hii kesi unaweza usiwe natija kama level yao ya uelewa wa sheria ni mmoja ni kama wamepanik hivi wale wanne wa Lissu watulie wasibabaishwe na wingi wao wacheze draft lao vizuri wasukume kete kwa utulivu mkubwa hilo game wanatoka kidedea tu.
 
Kwa mawakili waliobobea kiasi hicho hawawezi kuogopa kesi hiyo kuanza, ambapo Tundu Lissu anachomtaka Spika Ndugai aeleze kama kweli hajui alipo Mbunge Tundu Lissu, wakati inafahamika na dunia nzima kuwa yupo ubelgiji kwa ajili ya matibabu baada ya "watu wasiojulikana" kumminia risasi zaidi ya 30 kwenye gari lake, katika jaribio la kumwua, takribani miaka miwili iliyopita
Wanajua na ndio maana wameendelea kumlipa stahiki zake mpaka majuzi walivyomstishia!.
 
Ikitokea spika akakili mbele ya mahakama hajui Lisu alipo, nini kitatokea? Au watamlazimisha akubali? Maana kimsingi spika ndie shahid mihim kwa lisu.
Acha Mawazo Mgando wewe.... Speaker alikaririwa kwa kinywa chake alisema Bunge limechanga million 40 za matibabu ya Lisu...Unaweza kutuambia alikua anamaanisha nini kusema million 40
 
Hakuna namna ya mawakili wa Lissu wapinge kesi iendeshwe kwa kiingereza?hao kwenye yai wabovu.
Kumbe mawakili wa serikali ni "weupe" kwenye lugha ya malkia, kama Mkuu wao Jiwe??
 
Back
Top Bottom