Kuna sababu zipi za msingi zilizofanya Serikali yetu iipe uzito mkubwa sana kesi iliyofunguliwa na Tundu Lissu dhidi ya Spika Ndugai?

Unataka kutuambia kwamba Speaker anapokwenda kuangalia mpira uwanjani anakuwa sio speaker sababu pale uwanjani sio bungeni?
Itategemea, hapo uwanjani amekwenda kwa mwaliko kama speaker.!? Au kaenda kawaida kama mashabiki wengine.

Tatizo la watanzania wengi hawafahamu kutenganisha kati ya dhamana aliyonayo mtu serikalini na yeye mwenyewe kama yeye.

Watu ingalau ktk utawala huu ndo wameanza kufuata sheria, taratibu na kanuni. Huko nyuma tulikuwa tunajiendea tu na tukaona ni haki yetu.

Hivyo ukivunja sheria eti kwa kuwa mhusika anafaham shida yako bila kuomba ridhaa rasmi toka kwake hilo ni kosa.
 
Kifupi tundu lisu angekuwa anybody hata president Lakini yeye na zito kabwe,halima mdee,mbowe ,Seif sharriff ,Lowasa,Hamad nk waliingia vyama vya watu ambao hawakupigania Uhuru wa Tanganyika au Zanzibar.Mangi mumiliki wa chadema alipinga Tanganyika isipate uhuru umoja wa mataifa kumpinga Nyerere asipewe Uhuru .Makabila baki ndio yaliipambana chini ya nyerere ndio tulipambana kufa na kupona tanganyika iwe huru.Wasukuma chini ya familia ya Rupia ndio waligharamia safari za Nyerere umoja wa mataifa na CUF ile iliyokuwavchini ya maalimu Seif ambayo Sasa wamekimbilia ACT wazalendo hawakushiriki kumtoa sultan zanzibar wakati karume na waswahili Zanzibar wakibeba mashoka na marungu kumtwanga sultani wapemba walikuwa wanatafuna tambuu na kunywa kahawa na Watoto wa sultani .Lisu kajiunga na watu ambao walipinga nchi isipate uhuru tutapambana naye Hadi atukome.Uhuru tumeupata nchi iko vizuri wapemba na wachaga ndio wanataka nchi wakati hawakushiriki kutafuta Uhuru .Walie Tu na supporters wao.Kama hukushiriki kutafuta Uhuru au ukajiunga na ambao hawakushiriki kutafuta Uhuru to hell with you and tundu lissu.Tutatumia nguvu zote kuhakikisha you are out uwe ubegiji or whatever
Mkuu Yehodaya, hayo ni mawazo mufilisi..........

Hivi katika karne hii, bado unaipa uzito hoja ya vyama vya ukombozi??

Ama kweli ndiyo maana CCM inajigamba kuwa itatawala milele!
 
Alishachelewa imekuwaje unamlipa zaidi ya mwaka mtu ambaye haujui mahali alipo? Uliposema utaenda kumtembelea huko Nairobi ulitaka kutembelea nin ? ni maswali hayo tuu yatamrudisha Ndugai kwenye mstari.
Nyie jamaa, si nilikuambiaa..!? Lisu yuko wapi, kabwagwa mahakamani, na hata akikata rufaa bado atabwagwa tu. Tatizo lenu huwa mnacoment tu akati sheria, taratibu na kanuni za utumishi wa umma hamzijui. Nimeamini JF waelewa ni wachache sana.
 
52 Reactions
Reply
Back
Top Bottom