Kuna Sababu za kila Kuanzisha wizara itakayohusika na majanga uokoaji

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Imefika hatua ya kuwa na Wizara itakayohusika moja kwa Moja na majanga haya Zikiwemo Na Helicopta.
Haingii akilini kabisa hatuna Watu wenye Maono na Majanga haya.

Kikosi cha ZIMA MOTO KIVUNJWE.
 
Usiumize akili bure! Sikio la kufa halisikii dawa. Wapi umesikia fire brigade bila maji ya kuzimia moto au strategic grain reserves depot with absolutely empty granaries . Yatakua yale yale a disaster Ministry true to name- an absolute distaster.
 
Suluhisho si kuunda wizara mpya. JK tayari ana wizara za kumwaga. Kubwa akifanya hivyo itakuwa kuwanufaisha wachache na kuzidi kuila nchi. Nahisi cha kufanya ni kuviwezesha vyombo vilivyopo : kuboresha miundo mbinu, vifaa na wafanyakazi wenye sifa za kielimu na zaidi uwajibikaji. Yanaweza kuwepo yote hayo, angalau robo yake kama ilivyo sasa, lakini kwa kukosekana uwajibikaji matokeo yake ni uzembe unazua maafa kama haya ya juzi, ya kila siku barabarani na yale ya mwaka 1996 ya MV. Bukoba.
 
na iitwe 'wizara ya dhiki na mambo ya ghafla'...hapo je?
 
Back
Top Bottom