Kuna rafiki yangu kaoa.

Kuoa kazi kwel kwel. Et m2 anikatalie kuish na mama angu! Bora nimwache yeye nikaish na mama.

Technically hapo hakuna ndoa...kama mambo hayawezekani si bora kuachana? Anyway people do what they like doing
 
Kuna mdada alishasema anasaka mwanaume yatima waoane!
Ila kama mama ana sababu ya kuishi nanyi kama ni mgonjwa sana ama mzee asiejiweza hapo sidhani kama kuna atakaekataa. Ila unakuta kama mama yake Lulu wa Kanumba, ati ndo mama mkwe afu uishi nae! Kha!

fazaa ushauri wako mzuri! Hawajakua hao, waache kila mtu akakae kwao warudie uchumba
hili swala la mama mkwe naona siku hizi linaanza kuwa janga la kitaifa.....
 
Last edited by a moderator:
Hiyo inaitwa ndoa ya kutwa, yaani day marriage. Hapa kula, kulala kwenu.
 
Jamani tuliambiwa tutamuacha baba na mama na kufuata ulimwengu...mke/mume ndio ulimwengu..hawa wazee nao wameshaishi maisha mengi mno wawaachie sasa watoto wao wajipange kimaisha na waishi vizuri. Huyo mama anayekaa kwa mwanawe wa kiume sidhani kama angekubali kukaa na mama mkwe wake i.e mama wa mumewe...
 
Mwanaume unapochukua uhamuzi wa kuishi na mama yake, nyumba moja na familia yake ndipo alipoanza kulichimbia kaburi ndoa yake. Mke hata awe mtiifu kwa kiwango cha kupiliza kwa mume na mama mkwe, migogoro ndani ya ndoa ni vigumi kutotokea haswa itakayomuhusu mama mkwe na mke.
Tunahitaji kuishi na wazazi wetu kwa furaha, kinachohitajika ni uelewa wa mke kuhusu kutatua matatizo yanayojitokeza kati yake na mama mkwe wake bila kukuhusisha mwanaume, inapobidi ndipo akuhusishe kutatua mgogoro, lakini si kumuondoa ambapo amekuja kuishi nanyi.
Baraka za mzazi mtazikosa.
 
Kama mlivyo ona hapo juu ya kichwa cha habari...kuna rafiki yangu ana matatizo na mke wake kamuambia hataki kuishi na mama yake huyo mme wake nyumba moja, na huyo mama yake hana pakwenda...Kaomba ushauri kwangu, mimi nimempa ushauri mzuri sana kama huu; Kila mmoja aishi na wazazi wake, na mke wake awe anakuja kwake anampiga vitu akisha maliza kila mmoja anarudi kwao, yeye anabaki na mama yake, na mke wake anarudi kwa wazazi wake...Mke akiwa kakumbuka kamchezo kachumbani anamuita wanacheza wakisha maliza kila moja anarudi kwao...Nilivyo muambia hivyo kaniambia eti ushauri wangu sio mzuri nyie mnge mpa ushauri gani :biggrin:


Bora usingemshauri...
 
Mama wakwe wengine ni matatizo, rafiki yangu anaishi na mama mkwe wake kwenye nyumba ya vyumba viwili mama nalala sebuleni mtoto wake hata akikohoa usiku anagonga mlango wa chumbani anauliza nini mwanangu?
 
somtime tusiwe tunawaendekeza wanawake. Mbona ye ndugu zake anawasaidia hata kwa kuiba? Mi wa kwangu nilishamwambia you can not be superior to my mother! Dada zangu naweza nikakusamehe.

Kwa wakristo katika bible inasema kila mmoja atawaacha wazazi wake na kuambatana na mwenza wake siyo wazazi wake, na hao wawili watakuwa mwili mmoja? mbona haikusema aambatane na mama yake?
na pia kwenye amri za Mungu inasema waheshimu wazazi ili uweze kupata baraka na maisha marefu na mema duniani
 
Back
Top Bottom