Kuna rafiki yangu kaoa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna rafiki yangu kaoa.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by fazaa, May 20, 2012.

 1. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kama mlivyo ona hapo juu ya kichwa cha habari...kuna rafiki yangu ana matatizo na mke wake kamuambia hataki kuishi na mama yake huyo mme wake nyumba moja, na huyo mama yake hana pakwenda...Kaomba ushauri kwangu, mimi nimempa ushauri mzuri sana kama huu; Kila mmoja aishi na wazazi wake, na mke wake awe anakuja kwake anampiga vitu akisha maliza kila mmoja anarudi kwao, yeye anabaki na mama yake, na mke wake anarudi kwa wazazi wake...Mke akiwa kakumbuka kamchezo kachumbani anamuita wanacheza wakisha maliza kila moja anarudi kwao...Nilivyo muambia hivyo kaniambia eti ushauri wangu sio mzuri nyie mnge mpa ushauri gani :biggrin:
   
 2. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  lol hio yako kali...,amtafutie mama pa kwenda....
   
 3. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  fazaa hivi unaijua nini thamani ya ndoa? na je unajua heshima yake? ushauri wako ni mbaya sana. swali ni je huyo rafiki yako alizaliwa njiani hadi huyo mama akose pa kwenda? yeye kwake nani anapaangalia?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  JF is never boring. Kwahiyo kwa ushauri wako unataka watoke kwenye ndoa warudi kwenye uchumba, na watoto wawaleaje? Kuna mawili hapo ama ndoa ivunjike au kutafuta namna ya kumtunza mama bila kuishi hapo nyumbani. Nafahamu mtu mmoja aliyeamua kumpangishia baba yake nyumba na kumtafutia mfanyakazi wa kumpikia, kumfulia na kazi nyingine ndogondogo. Na jamaa alikuwa anapeleka mahitaji zaidi huko kuliko hata hapo kwa mke wake. Ile ilisaidia sana kumfanya mzazi aishi kwa furaha, na mke naye atulie.
   
 5. r

  rugulumu Member

  #5
  May 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kumtafutia mama yake pa kuishi inategemea uwezo.......hajasema ni dar au wapi! kama mjini ni so
   
 6. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  To be honest with my self...ushauri ulioutoa ni the best and only kwa aina ya watu kama hugo (assuming kuwa story ni ya kweli).

  Nasema nje ya hapo uwezi kumpa mtu ushauri ambao hawezi ku- comprend... kama mkewe alimweleza hivyo na bado anahitaji ushauri zaidi basi hawezi kusaidiwa kimawazo labda vinginevyo.

  Kuna mfano hai mkoa mmoja TZ yuko bwana mmoja anaishi na mama yake mzazi na mke wake under the same roof for over 11yrs straight....mpaka mama mzazi ameachika na mumewe kitambo tu. Kifupi maisha yao ni drama kwa kwenda mbele including mama kumtafutia mwanaye mwenye mke wa ndoa mwanamke anayemkubali etc.
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  kwanza kwa nini anaishi na mama yake?
  Hana mume au mume kafariki?
  Je yeye ni mtoto wa pekee?

  Tabia ya mama yake ikoje?(hata kama anampenda vipi mama yake, kama ni mkorofi ndani ya moyo wake anajua)

  je kwa nini mama yake na mkewe hawapatani? Je mke ana tabia gani?

  Akijua tabia ya mke, na tabia ya mama yake ndio ataweza kusolve hili tatizo........ Na anapaswa kukisolve kama mwanaume aliyepevuka si kulalia upande mmoja.....
   
 8. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #8
  May 20, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  teh teh teh. in a way inakua kama wamtukana mamake.
   
 9. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #9
  May 20, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  gfsonwin najua sana thamani ya ndoa...navyo jua unapo owa na unapo olewa kubali kuishi na mke wako/mme wako kwa mazuri na mabaya, unless kuna ukosefu wa adabu kutoka pande zote mbili.

  Sikatai ushauri wangu unaweza kuwa si mzuri, lakini je kama mzazi wake ndo hana pakwenda na yeye ni mwanaume peke yake katika family ya mama yake, dada zake wawili wameolewa sa huoni kama ni aibu kumuacha mama yake akaishi kwa mashemeji zake.
   
 10. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  wakati mwingine mama na mkwe kuwekwa pamoja inakuwa shida labda kama wanaelewana
  kama yeye ndio anatakiwa kumlea mamake bora kumtafutia mama sehemu ya kuishi kunusuru ndoa
   
 11. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #11
  May 20, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Wataftie CD za michezo ya kanumba za kutosha. Risechi yangu nimegundua wanawake wakiangalia movie za kanumba na uwoya wanakuwa wanaelewana kupita maelezo katika kufatilia na kuhadisiana mchezo.
  Wanawake bana!
   
 12. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kama nimekusoma sawia, mfano wako una- Refer Wachaga, kwa maana ndio zao.
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  May 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  hili swala la mama mkwe naona siku hizi linaanza kuwa janga la kitaifa.....
   
 14. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #14
  May 20, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  somtime tusiwe tunawaendekeza wanawake. Mbona ye ndugu zake anawasaidia hata kwa kuiba? Mi wa kwangu nilishamwambia you can not be superior to my mother! Dada zangu naweza nikakusamehe.
   
 15. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #15
  May 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  fazaa kwani huyu mama wakati anawazaa hawa watot hakuwa na boma?yaani mji wake? aende akake huko huduma zimfuate. hivi anataka akae na mwanae amnyime binti wa watu kuufaid muhogo.....lol. Manake bwana raha ya muhogo uugunie kidogo sasa uko na mama mkwe hapo utaweza kutoa mguno? asimchoshe bwana. Hata kama ni mgonjwa amuajirie mfanyakazi.

  nikuulize swali hivi huyu mama akipata shida za kike au ugonjwa kama mkamwana hayupo kijana atamuogesha mama yake? sasa asijitwike mzigo mzito kuliko yeye.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #16
  May 20, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  klorokwini loya my loya nimeku pm.. mie mamayako naendelea kuishi nae.

  hadi kanga tunavaliana na sokoni tunashikana mikono.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Anita Baby

  Anita Baby JF-Expert Member

  #17
  May 20, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 1,198
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Kuoa kazi kwel kwel. Et m2 anikatalie kuish na mama angu! Bora nimwache yeye nikaish na mama.
   
 18. Anita Baby

  Anita Baby JF-Expert Member

  #18
  May 20, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 1,198
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  .Kuoa kazi kwel kwel. Et m2 anikatalie kuish na mama angu! Bora nimwache yeye nikaish na mama.
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  May 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  hapo inabidi mke awe mke na mama awe mama.....
  Mama asiingilie maisha ya ndani ya mwanae na mkewe......
  Na mke ampende mama mkwe na kumchukulia kama mzazi, kumoa huduma inayostahili........

  Ila mama akiact kama nyumba yake na mke akitzka kutake control ya nyumba yake hapo matatizo huanza...........
  Mke akiwamchoyo na kutomjali mama mkwe napo matatizo huanza......
   
 20. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #20
  May 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  acha fix hizo..
   
Loading...