Kuna option zipi za kupata internet sehemu isiyo na internet

satellite dish ni nzuri kwa matumizi hususan ya taasis kama shule, hostpital n.k speed ipo fresh sana binafsi natumia ila kwa mtu moja moja ni garama kufunga mfumo huo.

kama una hela ya kutosha Avanti Communications wapo vizuri speed yake ni balaa inazidi 30mb/s kulingana na matumizi (idadi ya watu walio connect ktk network)
Na gharama zao zikoje kwa mwezi?
 
Ilo sasa ndo linalo niumiza kichwa mana mtandao mzur unashika nje
Kwan iz rooter unaweza ukaweka ndan alaf ikashika mtandao vzur tu s et
unless simu yako ni kimeo kwenye network ila simu ikikataa kushika ndani ujue na router pia haitashika.

niliposema router nimemaanisha ukaieke huko nje inaposhika network
 
unless simu yako ni kimeo kwenye network ila simu ikikataa kushika ndani ujue na router pia haitashika.

niliposema router nimemaanisha ukaieke huko nje inaposhika network
Kwahuly router nikiiweka nje itashida netwerk mpaka kuingia ndan yan seberen kwang
Mm cjawah kutumia router ila nazionaga tu mtandaon
 
Kwahuly router nikiiweka nje itashida netwerk mpaka kuingia ndan yan seberen kwang
Mm cjawah kutumia router ila nazionaga tu mtandaon
ndio mkuu itachukua ile internet ya nje na kuileta ndani kupitia wifi, hivyo wewe utahitaji tu kifaa cha wifi kama simu au laptop kuipata
 
Back
Top Bottom