Kuna nyimbo moja hii mwanangu akiimba natamani aondoke

Kuna nyimbo moja hii mwanangu akiimba natamani aondoke

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
2,400
Reaction score
1,018
Kuna wimbo mwanangu wa CHEKECHEA akiimba najisikia vibaya sana na huwa nashindwa kumkataza na huwa naondoka hapo au namtuma pipi au biskuti ili asiuimbe kwa sababu ni wimbo wa uwongo ila ngoja nitajua namna ya kumkataza kuuimba maisha Yake yote.
 
Like seriously, thread yako ndo imeishia hapa!??
 
Ila beat yake matata sana na inachezeka uzuri tu ndio maana dogo anaipenda na hasa unavyompa na pipi ndio kabisa anajua mshua kumbe nae anaizimikia hii ngoma.
 
Au huu hapa?

"Hatunywi sumu Hatujinyongii" ...................mbele kwa mbelee,
 
Back
Top Bottom