Kuna njia za kutambua kama nimepigwa limbwata?

 
Kumkumkuta mkeo na viashiria vyote vya kukusaliti lakini ukitaka kumfokea nafsi inasita au uoga unakuingia, hapo ujue kwisha habari yako.
 
Daah
comments za hii thread unaweza kuzimia au kupaliwa chakula/maji kwa kicheko...

Watu sijui mnawazaga nini tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…