Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,633
- 697,780
Hahaha.. Loh.. Usisubiri liishe, likipungua nguvu tu unachochea... Likiisha akagutuka umekwishaLimbwata likiisha nguvu naweza kurenew???
Hahaha.. Loh.. Usisubiri liishe, likipungua nguvu tu unachochea... Likiisha akagutuka umekwishaLimbwata likiisha nguvu naweza kurenew???
Ahsante ndugu mtaalamu, ngoja niandae test tube yangu 😂😂Hahaha.. Loh.. Usisubiri liishe, likipungua nguvu tu unachochea... Likiisha akagutuka umekwisha
DuhAhsante ndugu mtaalamu, ngoja niandae test tube yangu
Dalili za limbwata
Kuwahi kurudi nyumbani
Kumwambia mke wako kiasi cha mshahara unacho pokea
Kuongozana na mke wako kama kundi la Westlife mda wote mpo pamoja
Kushona sare
Kupiga umbea na mke wako
Mke kukufokea na kukaa kimya usimpige hata kofi
Ukitaka utafune mchepuko unaogopa au dushe kuzima kabisa
Kutopenda ndugu zako waje kwako
Kupenda ndugu pamoja na ukweni kuliko kwako ulikozaliwa
Kusaidia ndugu wa mke kuliko wako
Kumwambia siri zote mke wako
Na mengineyo wengine watakujuza
Unamtoaje mtu huko?Huwezi kujua mpaka liishe nguvu, maana utaona unachofanya ni sahihi na ni mahaba
Yanasaidia sanaUnamtoaje mtu huko?
Maji ya kutia chumvi na kunuia inasaidia?