Luhamba II
Senior Member
- Mar 22, 2025
- 126
- 186
Technology Ina move haraka sana, kwahiyo na baadhi ya services za serikali zinafata mkondo.
Kuna njia mbili za kupata Leseni ya biashara as of today;
1. Kwenye halmashauri
Unaweza kwenda halmashauri wewe mwenyewe ukaomba leseni.
Disadvantage ni kukaa kwenye foleni, au kusimama muda mrefu bila kuhudumiwa.
2. Ku apply online
Kuna mfumo unaitwa TAUSI unaweza ku apply leseni na ukapewa certificate ndani ya siku tatu.
I hope this helps
Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kupata Leseni za biashara zao.
Kama unahitaji consultation zaidi kuhusu upatikanaji wa leseni au renew unaweza kunitumia ujumbe WhatsApp kupitia namba hizi
0678131068
Your Favorite Lawyer.