Kuna nini TCU mwaka huu

kanyasu

JF-Expert Member
Feb 9, 2009
234
18
Wadau vijana mtaani wamechoka kuingia internet na kila siku wanakosa taarifa sahii za tcu,hebu wenye tarifa semeni kuna nini tcu kiasi kwamba leo hii zimebaki takribani siku 30 tyu vyuuo kufunguliwa hakuna majina au taarifa za uchaguzi wa vyuo.
 
Ndo hv hata mkifika chuoni mkidai vitu et ooh wanaandamana kwa fujo wanawapa mimosh!
 
TCU wamepoteza keys za ofisi.. Alafu 2day network ya mgao.. Pls dnt take t jokly nna asira ya nyigu.. I hate everythn
 
Ka vipi msipanic mana hamuwezi jua kwamba wale wenye hasira ndo wanafanya kuchelewa kutoka kwa results.so be patient n zen wait a little japo kuwa inauma mana wazazi wana2ona kama wadanganyifu hasa kwa wale ambao matokeo yako mguu nje mguu ndani
 
Duh
Ka vipi msipanic mana hamuwezi jua kwamba wale wenye hasira ndo wanafanya kuchelewa kutoka kwa results.so be patient n zen wait a little japo kuwa inauma mana wazazi wana2ona kama wadanganyifu hasa kwa wale ambao matokeo yako mguu nje mguu ndani
<br />
<br />
 
Mitambo yao ipo INDIA MALAYSIA., so me naona ni mpaka wawa2mie kwanza majina ndo wale jamaa wayaweke kwenye mtandao
 
Mvumilivu hula mbivu. Utakula mbivu hadi lini???????????
TCU kaa chonjo. we TCU wewe???
 
Muwe wavumilivu jamani, tuwaachie wafanye kazi yao vizuri, but wawe waaminifu katika ahadi!! Wataaminika sana!! By Alfonce.
 
Kinachonishangaza ni kwamba, kwa nini mjipangie deadline kama hamtoweza kuifuata mwishoni? Kwanza walisema 6th June, 13th June, 1st week of July na sasa 4th August. Deadline zote zimewapita ... Na sasa 2nd round ya applications zimeanza kwa wale ambao hawakuchaguliwa (au ambao hawaku apply kabisa mara ya kwanza), swali langu ni hivi ... tutajuaje kwamba hatujachaguliwa ili tu apply tena kama hamtotoa matokeo?!

They are the most unreasonable/incompetent people around!
 
Back
Top Bottom