Kuna nini special kwenye Maini?

Kuna nini special kwenye Maini?

Kwa taarifa ni kwamba Ulaya Matajiri kamwe hawali Main na Kule Main bei chini kuliko nyama huku kwetu Main bei kubwa kuliko Nyama,Wondering African
 
Kwa taarifa yako maskini wa ulaya hawalu pweza ngisna seafood nyingi tu wakati wakidai ni anasa maskini wa africa wanapiga piga tu hizo mambo bila shida!mzungu tajiri asipopenda maini si kigezo waafrica tusile lete sababu za mashiko sio kukariri hulka na silka za watu wasiotuhusu!
 
Acha UPOYOYO sababu si IPO hapo kwenye Thread we unavamia tu comments yangu jipange
 
Back
Top Bottom