Panya Mabaka
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 619
- 557
Mshanaaaaaaaaaa..........! Unaitwa huku!
Wewe toka lini umekuwa mtafsiri wa ndotoheeeee, Mshana Jr just come
Ndoto zinatumika kufikisha taarifa kwenye ulimwengu wa roho.Kila ndoto ina maana.Na sio kila mtu anaweza kutafsiri kila ndoto.Nikushauri nenda kwa viongozi wako wa kiroho watakupa tafsiri iliyosahihi zaidi au mwongozo wa yupi unaweza kumwendea ili akupe tafsiri hiyo.Habari zenu wakubwa kwa wadogo.
Niende kwenye mada kuwa Leo nimeota tena kuwa nimegombana na mdogo wangu aliyenifata kufikia kiasi cha yeye kukimbia/kuhama kabisa nyumbani na kwenda kwa majirani kuomba msaada huku nikiwa sijui chanzo chake.
Wakati huohuo ninamuona bibi yangu mzaa baba huyu ni Marehemu lakini nashangaa yupo pale nyumbani na wala hanisemeshi chochote kuhusiana na ugomvi wa dogo langu ikumbukwe bibi huyu tayari nimarehemu(3yrs ago) kwakweli nimestuka mno na Home wazazi walikuwa wamesafiri tukabaki 3tu mimi, dogo na Bibi (ambaye tayari nimarehemu)
Wadau mwenye kujua tafsiri ya hii ndoto tafadhali pia ushauri nini nikifanye yasinitokee tena haya ndugu zangu?