kuna nini mwenge open academy? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuna nini mwenge open academy?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kamakabuzi, Jan 13, 2012.

 1. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,499
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kuna tetesi kuwa shule ya sekondari inayoitwa Mwenge open academy imekimbiwa na waalimu wote, Hivi sasa wanafunzi wanahaha, hawajui hatma yao, hasa wale wa kidato cha tano. Wenyw habari zaidi watujuze.
   
 2. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,954
  Likes Received: 1,279
  Trophy Points: 280
  tupe namba ya simu tuombe ajira
   
 3. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ni shule nzuri sana nimepata degree yangu juzi tu 2011,inasemekana kuna tatizo la kiuongozi hapo na mmiliki wa ile shule hawalipi walimu kwa wakati lakn Mwl Ntengo kama yeye ni headmaster mzuri sana anaejua namna ya kutawala sio yule mama mmiliki wa shule
   
 4. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,499
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Sasa kama mmiliki wa shule hawalipi waalimu, huyo headmaster naye si atashindwa? Nina kijana wangu anasoma pale kidato cha tano, sioni kama shule itaendelea kufanya vizuri. Kama kuna mwenye taarifa za mikakati ya shule hiyo atujuze vinginevyo tutafikiria kuondoa watoto wetu.
   
Loading...