Kuna nini mbunge wa upinzani kutaka uenyekiti wa PAC

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
558
ni muda akina zito na kubenea kusemewa kwenye mitandao kutaka uenyekiti wa kamati ya PAC.
aidha wao kwa maana moja au nyingine kujifanyia kampeni

kinachonishangaza ni nini hasa wanachokihitaji kwa kujifanya eti wanaibua uozo kumbe kuna kitu kimejificha nyuma yao.
na huyu kubenea alipoona hana dalili ya kupata nafasi hiyo, yeye anajifanya eti ataleta hoja kuhusu escrow bungeni.ili mfalme wa mwanzo awaone kama litaingizwa bunge
 
Toeni umbea wenu hapa pelekeni jukwaa la wambea kule
Kama kitu hujui kinaenda vipi uliza usilete mambo yanayostahili kuwa kwenye jukwaa la bongo movie huku kwa wanaoweza kufikiria kwa makini
 
mleta uzi na huyo jirani yako kondoa vijijini hivi ni kweli kwamba hamjui hii kamati ni lazima iwe chini ya mwenyekiti kutoka kambi ya upinzani ? na ndio maana wapinzani wanataka mpinzani halisi na si mamluki kama ilivyokuwa bunge lililopita .
 
Watu wanataka kujenga majina mkuu......

Sasa naona wametupwa maendeleo ya jamii..
 
Uchakachuaji ni pamoja na kubadiri taratibu na kanuni zilizopo. Ni kanuni ya Bunge kuwa mwenyekiti wa PAC atoke upinzani. Ni kanuni ya bunge wajumbe wakamati wakubalike na bunge kwa kumudeu majukumu siyo kwa matakwa ya spika tu.

Mchezo unaochezwa unaeleweka kuwa spika wa CCM achakachue wajumbe wa kamati kwa manufaa ya serikali halafu wabunge wa CCM watumie wingi wao (siyo akili yao) kupitisha uchakachuaji.
 
mleta uzi na huyo jirani yako kondoa vijijini hivi ni kweli kwamba hamjui hii kamati ni lazima iwe chini ya mwenyekiti kutoka kambi ya upinzani ? na ndio maana wapinzani wanataka mpinzani halisi na si mamluki kama ilivyokuwa bunge lililopita .
Yani ni mjinga na anajijua ni mjinga lakini ameshindwa kuficha ujinga wake
 
ni muda akina zito na kubenea kusemewa kwenye mitandao kutaka uenyekiti wa kamati ya PAC.
aidha wao kwa maana moja au nyingine kujifanyia kampeni

kinachonishangaza ni nini hasa wanachokihitaji kwa kujifanya eti wanaibua uozo kumbe kuna kitu kimejificha nyuma yao.
na huyu kubenea alipoona hana dalili ya kupata nafasi hiyo, yeye anajifanya eti ataleta hoja kuhusu escrow bungeni.ili mfalme wa mwanzo awaone kama litaingizwa bunge
Hivi wewe umesoma Shule ya kawaida au Ngumbaru? (Ngumbaru ni kisomo cha watu wazima kujua kusoma na kuandika tuu)
Nayasema haya kwa kuwa najua wengi sana wanataka wakuambie wanasita. Umekuwa unaandika sana mada zinazoonyesha una uelewa mdogo na badala ya kuitumia forum hii kujifunza unataka kuleta maubishi na karaha tupu.
MTU mgeni akifungua JF kwa Mara ya kwanza na kukutana na post yako atacheka sana kuwa eti JF ni home of GT.
Siingilii Uhuru wako wa kujieleza ila nakushauri tumia muda mwingi kusoma humu utaelimika kuliko kuandika ili mradi.
Hebu soma signature ya Invisible itakusaidia kidogo.
Naomba uniwie radhi lakini,ila msema kweli ni .........
 
nyie wapumbavu msiojua muundo Wa bunge la Commonwealth ndiyo mnaodhalilisha jukwaa hili la JF

jifunzeni kujifunza kwa kukaa kimya
 
ni muda akina zito na kubenea kusemewa kwenye mitandao kutaka uenyekiti wa kamati ya PAC.
aidha wao kwa maana moja au nyingine kujifanyia kampeni

kinachonishangaza ni nini hasa wanachokihitaji kwa kujifanya eti wanaibua uozo kumbe kuna kitu kimejificha nyuma yao.
na huyu kubenea alipoona hana dalili ya kupata nafasi hiyo, yeye anajifanya eti ataleta hoja kuhusu escrow bungeni.ili mfalme wa mwanzo awaone kama litaingizwa bunge
Kiukweli tuna mijitu mijinga ajabu humu jf!, ila kuwa mjinga sii kosa, kwa sababu ni kutokua, ukielimishwa huo ujinga utakutoka!.

Miongoni mwa kazi za bunge zaidi ya kutunga sheria, ni pamoja na kuisimamia serikali, kupitia kamati mbalimbali za bunge. Kati ya kamati hizo, zipo kamati tatu zinazoitwa oversite committee ambazo ni PAC, POAC na LAAC, ni lazima ziongozwe na wabunge kutoka vyama vya upinzani!.

Natumaini ujinga wako umekutoka, kama bado, naweza pia kukusaidia ni kwa nini kamati hizo lazima ziongozwe na wenyeviti kutoka upinzani,

Pasco
 
Huyuu pasco hats umwondoe ujinga unabaki ubwege

So mpotezee mpwaa. Sawa NA friends rangers vs Yanga

Shidaaaa
 
Wengine atujui kinachoendelea hila kwa ninacho kisoma nimesikitika au nitasikitishwa sana kama Zitto na experience yake ya hii kamati ya PAC iwapo ataiongoza tena.

Kamati za bunge zipo kwa mantiki ya kuiamsha serikari iliyopo madarakani na Zitto was doing a good job despite unafiki wake saa zingine wa hapa na pale ambao ni jukumu la wengine kumkumbusha ya kuwa yeye sio kila kitu; however overall he was doing a good job and experienced more than many after 10 years on those territories.

Yaani kukosekana kwa Zitto kwa hapa imekula kwa wapenda mabadiliko that is my personal view, politics is not personal but what is best binafsi ningependa kumuona Zitto yupo kwenye kamati za usimamizi wa matumizi ya serikari akipiga makelele ana kaunafiki saa zingine lakini anapokuwa fair he is best out of the lot on expenditure matters.
 
Zitto yupo vizuri tatizo lake ni opportunist nadhani umenielewa.
 
mleta uzi na huyo jirani yako kondoa vijijini hivi ni kweli kwamba hamjui hii kamati ni lazima iwe chini ya mwenyekiti kutoka kambi ya upinzani ? na ndio maana wapinzani wanataka mpinzani halisi na si mamluki kama ilivyokuwa bunge lililopita .
Tatizo lililopo huko upinzani halisi ni kwamba hakuna watu wenye elimu halisi. Elimu zao huko ni za hapa na pale....Sasa itakuwaje hapo? Na kamati ya PAC na ile ya LAAC zinataka watu wenye uwezo wa kujua mahesabu.....Maana ni kamati zinazo simamia mahesabu....hivyo vitu vya balance sheet havipaswi kukupiga chenga. Zitto alistaili hiyo kamati.....na amethibitisha hivyo mara nyingi tu kwa namna alivyoienyesha serikali ya JK.
 
Uchakachuaji ni pamoja na kubadiri taratibu na kanuni zilizopo. Ni kanuni ya Bunge kuwa mwenyekiti wa PAC atoke upinzani. Ni kanuni ya bunge wajumbe wakamati wakubalike na bunge kwa kumudeu majukumu siyo kwa matakwa ya spika tu.

Mchezo unaochezwa unaeleweka kuwa spika wa CCM achakachue wajumbe wa kamati kwa manufaa ya serikali halafu wabunge wa CCM watumie wingi wao (siyo akili yao) kupitisha uchakachuaji.
Nani kakwambia kuwa wenyeviti wa kamati za PAC na LAAC watatoka pahali tofauti na upinzani!? Hili sio suala la matakwa ya spika....bali lipo kikanuni. Pamoja na kwamba wabunge wa CCM wapo wengi kwenye hizo kamati kama wajumbe....lakini pamoja na wingi wao mwisho wa siku watalazimika kuchagua wapinzani kuwa viongozi wao kwenye hizi kamati. Sasa sijui hayo malawama yako yanatoka wapi?
 
Tatizo lililopo huko upinzani halisi ni kwamba hakuna watu wenye elimu halisi. Elimu zao huko ni za hapa na pale....Sasa itakuwaje hapo? Na kamati ya PAC na ile ya LAAC zinataka watu wenye uwezo wa kujua mahesabu.....Maana ni kamati zinazo simamia mahesabu....hivyo vitu vya balance sheet havipaswi kukupiga chenga. Zitto alistaili hiyo kamati.....na amethibitisha hivyo mara nyingi tu kwa namna alivyoienyesha serikali ya JK.
Hamida, Zitto ndio bingwa wa Balance sheet eeh! Ndivyo alivyokuambia?
 
ni muda akina zito na kubenea kusemewa kwenye mitandao kutaka uenyekiti wa kamati ya PAC.
aidha wao kwa maana moja au nyingine kujifanyia kampeni

kinachonishangaza ni nini hasa wanachokihitaji kwa kujifanya eti wanaibua uozo kumbe kuna kitu kimejificha nyuma yao.
na huyu kubenea alipoona hana dalili ya kupata nafasi hiyo, yeye anajifanya eti ataleta hoja kuhusu escrow bungeni.ili mfalme wa mwanzo awaone kama litaingizwa bunge
Nasikia amesusia kamati aliyoteuliwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom