kuna nini kichwani mwa mke wangu

sifa ni nyingi kwa kweli
aliwai kusema anaumbo zuri hatapa usumbufu wa wanawake
ana tabia nzuri mkewe hatapata raha
ana juhudi ya masomo na ana akili darasani
ana upendo
na hii ni kama biashara ya kila siku mimi kusikiliza masifa ya bwana mdogo
mpaka inakera
Boss kwenye Red hapo Juu panakaaje???
Mwambie kwa upole sana siku akianzisha hizo story zake " Naona Daily unaleta story hizo hizo za kumsififia dogo, je ushawahi kumwambia yeye mwenyewe,kama hujamwambia kamwambie ajue na kama tayar ushamwambia basi naomba hili lisiwe wimbo wa Taifa"
Question: Kwani Tabia za mdogo wako zimekaaje,na maanisha ni Mkware na maanisha playe???
Usipokuwa mkali Dogo atakulia Tundi Mazee
 
Anatafuta njia ya kumuondoa hapo nyumbani kwenu - hapendi ndugu zako huyo mkeo!

Duh! Aisee Baba_Enock wewe kweli kiboko. Ndio maana inashauriwa jamaa arudi nyumbani bila taarifa ili ajue pindi akiwa hayupo hali ikoje. Usikute mke anamsifia dogo pindi jamaa akiwepo, ila akiwa hayupo dogo anafanyishwa kazi kama punda. Na dogo hawezi kulalamika kwa kaka yake na wala hapewi nafasi hiyo. Na hata akilalamika anaweza asieleweke kwa kuwa shemeji yake huwa anamsifia sana!

It might be that much tricky, kama ambavyo baadhi ya mama wa kambo huwa wanafanya.
 
MKUU shukurani umenipa mtazamo mpya wa ili suhala , yawezekana napingwa changa la macho nisione upande wa pili sio,ili niwe naona kuna upendo kumbe kuna manyanyaso.
shukurani mkuu hii nayo naifanyia kazi
 
mie nahisi wewe kaka hujiamini,unafeel inadequate kama mwanaume ndio maana unaona mawenge,unaona vitu ambavyo havipo sababu uko soo insecure.......anza kufanya yale yote ambayo mkeo ana sifia ili usifiwe wewe :biggrin1::mod:
 
  • Thanks
Reactions: EMT
sifa ni nyingi kwa kweli
aliwai kusema anaumbo zuri hatapa usumbufu wa wanawake
ana tabia nzuri mkewe hatapata raha
ana juhudi ya masomo na ana akili darasani
ana upendo
na hii ni kama biashara ya kila siku mimi kusikiliza masifa ya bwana mdogo
mpaka inakera

Labda kuna vitu ambavyo wewe huna kwa hiyo anamtumia mdogo wako indirectly kufikisha ujumbe? Je, wewe huna hizo "qualities" za mdogo wako? Ukijilinganisha na mdogo wako, unajionaje? What sort of personality do you have? Kiumri mnatofautianaje kati ya wewe, mkeo na mdogo wako? Kama ningekuwa mie ningeichukua hiyo kama challenge. Pia badala ya kusema inakera, mkeo anapoanza kumsifia mdogo wako then, jaribu kumjibu in sense of humour. Or try to be cocky in your answers, but don't offend either of them. Kwa mfano kama anasema mdogo wako ni mzuri mjibu kuwa anakumbuka Nyerere alishatumbia kuwa kama tunataka kumchagua Kiketwe kwa "uzuri" wake rais basi tukanywe naye chai? Matokeo yake tumemchagua, pamoja na "uzuri wake wote tuko wapi? Heri Mkapa mara mia!!" Surprised her with your answers. Usiwe too defensive or insecure. Take it easy man.
 
Labda kuna vitu ambavyo wewe huna kwa hiyo anamtumia mdogo wako indirectly kufikisha ujumbe? Je, wewe huna hizo "qualities" za mdogo wako? Ukijilinganisha na mdogo wako, unajionaje? What sort of personality do you have? Kiumri mnatofautianaje kati ya wewe, mkeo na mdogo wako? Kama ningekuwa mie ningeichukua hiyo kama challenge. Pia badala ya kusema inakera, mkeo anapoanza kumsifia mdogo wako then, jaribu kumjibu in sense of humour. Or try to be cocky in your answers, but don't offend either of them. Kwa mfano kama anasema mdogo wako ni mzuri mjibu kuwa anakumbuka Nyerere alishatumbia kuwa kama tunamtaka kumchagua Kiketwe kuwa rais basi tukanywe naye chai? Matokeo yake tumemchagua rais, pamoja na "uzuri wake wote tuko wapi? Heri Mkapa mara mia!!" Surprised her with your answers. Usiwe too defensive or insecure. take it easy man

mkuu kusema kweli dogo yuko na mvuto kuliko mimi
lakini duh ina maana unataka kusema mke wangu anatamaa kiasi hicho
 
mie nahisi wewe kaka hujiamini,unafeel inadequate kama mwanaume ndio maana unaona mawenge,unaona vitu ambavyo havipo sababu uko soo insecure.......anza kufanya yale yote ambayo mkeo ana sifia ili usifiwe wewe :biggrin1::mod:

dada jina langu ni vikwazo naona umeniita kaka hapo juu
kuhusu hizo sifa anazopewa dogo nyingine ni maumbile yake
na mambo kama mkewe hatakuwa na raha ni mtu mzuri
hatapa mke mzuri na nyimboi kama hizo
mimi nataka msaada kuhusu jinsi ya kuendo situation naona wewe umenimwagia tuhuma tu.
 
Mkuu sasa hapa unajichanganya na post yako ya mwanzo ambapo umesema:

mke wangu ana msifia sana mdogo wangu wa kiume, yaani kuna wakati hata hakuna umuhimu wa hizo sifa lakini yeye anamwaga tu sifa kwa bwana mdogo!!!!!

Sasa ulisema

mkuu kusema kweli dogo yuko na mvuto kuliko mimi
lakini duh ina maana unataka kusema mke wangu anatamaa kiasi hicho

Hebu clear hii contradiction kwanza mkuu. Kama mdogo wako ana mvuto kuliko wewe, Mvuto wa nje au wa ndani? Ana umri gani kwanza? Kama ana mvuto mbona hana hata girlfriend? Nina maana wanawake wengiine hawaoni huo mvuto au ni mkeo tuu? Fafanua mkuu ana mvuto gani tofauti na wako? kwa mfano kama ana six packs na wewe una kitambi, bora useme ili wadau wakupe ushauri unaofaa.
 
Baada ya kusoma sana na kutafakari nimepata kujua kinachosumbua; hakuna tatizo lolote kichwani kwa mke wako; nadhani tatizo lako kichwani mwako. Unaona visivyokuwepo na kuhisi visivyothibitishwa. Matokeo yake umeanza kuwa kama lile simulizi la Kaini na Habili kwenye Maandiko maana jamaa alianza hivi hivi..

Mbona Mungu anammwagia sana sifa Habili
Mbona Habili anaonekana kupendwa sana
Mbona mbona..

Mwisho Mungu akamuuiliza Kaini, kwani na wewe ukifanya vizuri hutakubaliwa? Well.. badala ya kufanya vizuri unajua alienda akafanya nini? So.. take it easy.. zungumza na mwandani wako, kama kuna vitu mdogo wako anavifanya vizuri sana nawe usisite kumpa sifa wala usimwazie vibada ndugu wa damu yako. Kama ni kweli shemeji yetu anavutika kwa bwana mdogo, mtulize tu mtoto wa kike tena kwa upendo si kwa kumshutumu maana kama hakuwa na wazo baya unaweza kulipandikiza mwenyewe na baadaye ukalivuna kwa machozi.

Otherwise, akimwaga sifa na wewe mmwagie mdogo wako mara mbili!
 
safi sana
 
Mkuu Vikwazo.
Swali jingine, kwani Mdogo wako ana Umri gani na nafanya issue gani kwa Sasa.
Tafadhali tupe wasifu wa Mdogo wako
 
ni kweli kabisa,
ila avatar yako utata
anyway poa

usimwambie mkeo juu ya mawazo yako sbb;
..ukimwambia kama kweli wana lao jambo itakuwia vigumu kuwagundua sbb watakua makini,
..kama mkeo hana nia mbaya kama unavyomuwazia utamkwaza sana na hatakuwa na uhuru tena na shemeji yake.

..Mdogo wako akijua unamuwazia haya wkt wana upendo wa kawaida tu utamuumiza sana,chukulia mfano ingekua ni ww unahisiwa hlf sio kweli ungejisikiaje?

Wewe unaonkana unampenda sana mkeo,ni jambo zuri,lkn pia unaonekana una wivu sana kiasi hata mkeo akifurahi na nduguyo wa damu unaona unaibiwa.

MUOMBE SANA MUNGU,unaweza hata kufunga siku moja kulikabidhi hili jambo kwa Mungu,yeye anajua zaidi yetu sisi wote,na yeye ndiye atakayekupa jibu.

USIKURUPUKE,wala usianze sijui kuajiri wapelelezi au kuanza kuomba omba watu ushauri huko mitaan,wee kaa kimya,ongea na mungu wako,soma mazingira kimyakimya.

Hebu jaribu kuzigeuza hizo sifa kuwa ni kitu positive hadi pale utakapoona dalili inayowasha taa nyekundu,kumbuka kama kweli kuna kitu kati yao utaona tu siku vikiwakolea,hawataweza kujificha milele.
 
oooh broda, amka ujifunike kabla hapajakucha ukajikuta ndio unakumbuka shuka...

hii ni dalili kubwa sana ya mwanamke anae kulinganisha na mwanaume mwenzio, cha kufanya mwambie usilaze damu mtu wangu, huyo ni wako mfinyange upendavyo meeeen...
 
Baada ya kusoma sana na kutafakari nimepata kujua kinachosumbua; hakuna tatizo lolote kichwani kwa mke wako; nadhani tatizo lako kichwani mwako. Unaona visivyokuwepo na kuhisi visivyothibitishwa. Matokeo yake umeanza kuwa kama lile simulizi la Kaini na Habili kwenye Maandiko maana jamaa alianza hivi hivi..

Mbona Mungu anammwagia sana sifa Habili
Mbona Habili anaonekana kupendwa sana
Mbona mbona..

Mwisho Mungu akamuuiliza Kaini, kwani na wewe ukifanya vizuri hutakubaliwa? Well.. badala ya kufanya vizuri unajua alienda akafanya nini? So.. take it easy.. zungumza na mwandani wako, kama kuna vitu mdogo wako anavifanya vizuri sana nawe usisite kumpa sifa wala usimwazie vibada ndugu wa damu yako. Kama ni kweli shemeji yetu anavutika kwa bwana mdogo, mtulize tu mtoto wa kike tena kwa upendo si kwa kumshutumu maana kama hakuwa na wazo baya unaweza kulipandikiza mwenyewe na baadaye ukalivuna kwa machozi.

Otherwise, akimwaga sifa na wewe mmwagie mdogo wako mara mbili!

dawa ya moto ni moto...
 
usifanye kosa la kumuondoa mdogo wako kwako kwani itamfanya mke wako am miss sana na mwishoe atafanya manuva ya kuonana nae na kumalizia biashara iliyobakia.
nakushauri ujichunguze na uone ni nini mdogo wako anafanya na wewe hufanyi...inawezekana mkeo anakufikishia ujumbe kiujanja kuwa na wewe fanya hivi kama mdogo wako.
all in all shukuru anamsifia mdogo wako na sio jirani au baba mwenye nyumba.
 
dada jina langu ni vikwazo naona umeniita kaka hapo juu
kuhusu hizo sifa anazopewa dogo nyingine ni maumbile yake
na mambo kama mkewe hatakuwa na raha ni mtu mzuri
[SIZE=3[B]]hatapa[/B] mke mzuri na nyimboi kama hizo[/SIZE]
mimi nataka msaada kuhusu jinsi ya kuendo situation naona wewe umenimwagia tuhuma tu.
Vikwazo matumizi ya H bana, unajua unaweza ukaweka H ikaleta maana tofauti kabisa kama hapo juu ulimaanisha atapata mean will get.... hatapata ...will not get
 
Mkuu mimi mdogo wangu ni handsome balaa halafu pia ni mpole, Mimi ni exactly the opposite (i.e Ugly and well, na mkali pia). Na mara nyingi kama sio zote wale ma-gf wangu wanayekutana naye kwa mara ya kwanza kwa kweli huwa anawachanganya sio polepole. Sasa unajua mimi huwa nafanya nini? Yaani kwanza honestly hicho kitu huwa hakiniumizi kichwa hata kidogo, kwa sababu kwa kweli, msichana wangu akianza tu kuwa dah unajua mdogo wako sijui hivi au vile, mimi sasa ndio anakuwa kama amefungua encyclopedia ya sifa za dogo, kwa sababu nitamwaga sifa lukuki hapo hadi mwenyewe atabloo. Halafu sio kwamba namwaga kwa kinyongo, yaani ni kwa moyo mweupeeeeeeeeeeee. Mara zote huwa hawarudii tena hizo habari.
 
Vikwazo matumizi ya H bana, unajua unaweza ukaweka H ikaleta maana tofauti kabisa kama hapo juu ulimaanisha atapata mean will get.... hatapata ...will not get

pole shule za kata dada angu nitajitaidi
 
ukihisi mke wako/mme wako an cheat, basi ujue ana cheat kweli..usijiulize mara mbili.

ukiniambia hivyo panic inaanza upya
mimi katika maisha nilisha sema huyu tu mpaka kufa.
sasa kama kuna kuibiana hapo kwa kweli sijui itakuwa je
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom