Mibas
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,213
- 6,389
Ni maji yanayotenezwa Uganda. Yalikua maarufu sana kanda ya ziwa.Rwenzor ndo yapi hayo mkuu? Yanapatikana wap?
Ni maji yanayotenezwa Uganda. Yalikua maarufu sana kanda ya ziwa.Rwenzor ndo yapi hayo mkuu? Yanapatikana wap?
Nadhani wewe ndio ungefanya utafiti kabla ya kubisha mkuu..Kilimanjaro na dasani yote yapo chini ya coca cola fanya utafiti kabla haujaanza kubishia
DASANI Mimaji ya baharini yana testi mbaya mno...Maji DASANI tu mengine hayo huwaga siyaelewi
Maji ya Uhai na Afya ni kwaajili ya Waswahili.Nimetembea mikoa mingi Tanzania, kasoro Lindi, Mtwara, Shinyanga na Kigoma, mikoa yote upatikanaji wa maji ya Kilimanjaro ni wa uhakika na sijaona maji ya Uhai. Inamaana Uhai imeshindwa kupenya soko la maji mikoani? Huwa najiuliza sana. Uhai utayakuta Moro na Tanga tu. Interest yangu ni kujua tu maana kuna biashara nataka kuanzisha inayofanana na maji.
Kwa hiyo mwanza iko moro na tanga?,rudi ukafanye utafiti upyaNimetembea mikoa mingi Tanzania, kasoro Lindi, Mtwara, Shinyanga na Kigoma, mikoa yote upatikanaji wa maji ya Kilimanjaro ni wa uhakika na sijaona maji ya Uhai. Inamaana Uhai imeshindwa kupenya soko la maji mikoani? Huwa najiuliza sana. Uhai utayakuta Moro na Tanga tu. Interest yangu ni kujua tu maana kuna biashara nataka kuanzisha inayofanana na maji.
Wanakaskazini hawawezi kunywa hayo maji ya Uhai, labda kiu ikaribie kawauaMaji mazuri Kilimanjaro,uhai maji ya waarabu
Mkuu tutoe gizani inatakiwa iweje na yenye mapungufu yakojeSoma composition ya maji yote hayo ndiyo utajua yapi yanakidhi viwango vya kimataifa
Umetoa maelezo mengiiiiiii angalia kwenye lable ya maji utaona symbol ya copyright ndo utaelewa.Nadhani wewe ndio ungefanya utafiti kabla ya kubisha mkuu..
Dasani ipo chini ya Coca Cola..
Kilimanjaro ipo chini ya Bonite(Mengi)..
Coca Cola Na Bonite Zote Zipo Chini Ya Mengi,Lakini ni vitu Viwili Togauti..
Kwahyo hapo Kuna Kampuni Mbili Tofauti Yaani Bonite Na Coca Cola..
Ikitokea Mengi Akachana Na Coca Cola Maana Yake atakuwa ameachana na Maji Ya Dasani Na Soda Za Coca Cola..Lakini Kilimanjaro Yatabaki Chini Ya Bonite..
Hivyo Kilimanjaro Hayapo Chini Ya Coca Cola Japo Yanamilikiwa na Mengi Mmiliki wa Coca cola Kwa Kanda hii..
Kusema kweli. Rwenzori ni maji mazuri sana. Yanakaa meza moja na Kilimanjaro.Acheni kubishana vitu vya kijinga,:maji ni Rwenzori tuuu
Kuna mengine huku kanda ya ziwa sana mwanza na musoma nimesahau jina nahisi ni rwenzori yanatoka uganda nahisi matamuu balaaa kilomanjaro inasubiri maji kiwango mnoKuna maji yanaitwa udzungwa aisee kilimanjaro inasubiri kwa mbali sana
Bora uhai kuna yale maisha uwiiii sijawahi kuyaweza wakati nipo chuo mtindo wa kununua madumu yale nilinunuaga nilitamani kulia maji kama machungu sana bora masafi matamu kama kilimanjaroMaji ya uhai taste yke huwa siielewi kabisa, in bora nichemshe ya dawasco
Mkuu utakua kanda ya ziwa wewe rwenzori matami sana yale majiAcheni kubishana vitu vya kijinga,:maji ni Rwenzori tuuu
Enheee hayo nayo matamu balaaMsisahau hata huku Rombo kuna maji yanaitwa Sequa yaan kilimanjaro yatasubir sana