Kuna nini kati ya maji Uhai na Kilimanjaro?

Kuna nini kati ya maji Uhai na Kilimanjaro?

Maji yanayopanda ndege domestic routes so far nimeyaona Kilimanjaro,Dasani na Maji Africa, hata watalii wakitoka ng'ambo kuja huku wanaambiwa kabisa quench your thirst na Klm au Maji Africa hayo ndo viwango that's why yanapanda hata ndege[emoji30] ...Sasa hizo brands nyingine hata kuonekana nayo unakunywa unaona aibu,kwa kweli hata ndege hayatapanda[emoji53]
Masafi yapo dubai
 
Uwe unatazama composition
Kilimanjaro yana PH 7.0

Sasa unakuta mimaji mingine ina ph 6.5 au 7.3 msomi gan anunue ila kila kanda ina maji yake yanapeta sanaaa kma kule mbeya na songwe kuna maji flan hv yana ph 7.0 kilimanjaro itasubili sana na huku kagera pia kuna maji aina kibao na ubora tofaut
 
Tukitoka kwenye maji tuje kati ya hao wamiliki wa hivyo vitu, nani tajiri.
Mipumbavu itapatikana tukianzia hapa
 
Kuuza maji mikoa yenye baridi na maji yao ni matamu kama mkoa wa kilimanjaro na watu wakanunua basi jua maji yako ni ya kimataifa.
 
Nimetembea mikoa mingi Tanzania, kasoro Lindi, Mtwara, Shinyanga na Kigoma, mikoa yote upatikanaji wa maji ya Kilimanjaro ni wa uhakika na sijaona maji ya Uhai. Inamaana Uhai imeshindwa kupenya soko la maji mikoani? Huwa najiuliza sana. Uhai utayakuta Moro na Tanga tu. Interest yangu ni kujua tu maana kuna biashara nataka kuanzisha inayofanana na maji.
arusha kwetu yapo mengi tu
 
Back
Top Bottom