babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,328
dyna nyange kaacha madawa ya kulevya kwani,,kama hajaacha si rahisi kumjua kala
Leo katika Kipindi cha Top 20 cha claouds FM sijui nini kilimfanya Mtangazi wa kipindi hicho kumuuliza Dyna Nyange kama anamfahau Kala Jeremiah! Lakini cha Kushangaza Dyna Nyange akasema Hamjui msanii huyo na hajawahi kumsikia!
Baada ya mtangazaji na wasikilizaji kumkomalia ndio alipo sema kwani kuto kumjua ni dhambi ukweli ni kuwa kala Jeremiah simjui!
Je kuna nini kati yao? Au ni kweli hamjui
Ni mganga toka Sumbawanga!huyo Dayna Nyange ndio nani?