ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Leo katika Kipindi cha Top 20 cha Clouds FM sijui nini kilimfanya Mtangazaji wa kipindi hicho kumuuliza Dyna Nyange kama anamfahamu Kala Jeremiah, lakini cha Kushangaza Dyna Nyange akasema hamjui msanii huyo na hajawahi kumsikia!
Baada ya mtangazaji na wasikilizaji kumkomalia ndio alipo sema kwani kutokumjua ni dhambi ukweli ni kuwa kala Jeremiah simjui!
Je, kuna nini kati yao? Au ni kweli hamjui..
Baada ya mtangazaji na wasikilizaji kumkomalia ndio alipo sema kwani kutokumjua ni dhambi ukweli ni kuwa kala Jeremiah simjui!
Je, kuna nini kati yao? Au ni kweli hamjui..