GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,277
- 6,673
Kwa hali jinsi ilivyo na utaratibu mzima unavyoenda serikalini nafikiri sasa kuna haja na umuhimu wa TANESCO Kuajiri Mkurugenzi na Meneja MGAO. Miaka nenda rudi huu mgao hauishi tu! Hivyo ni vema sasa kukawa na Meneja mgao ambae ataratibu vizuri mgao na kusaidia watu wa Kiembembuzi, Mbagala, Tandika na Makangarawe tukapata umeme sawa na Mtu wa Masaki na Osterbay au wa maeneo duni tukazidi kidogo kwani hatuna uwezo wa majenereta kama hao wenzetu wengine! TANESCO POKEENI USHAURI HUU; MKURUGENZI NA MENEJA MGAO WANAHITAJIKA KWA SASA!