mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,775
- 2,198
Kafara la pili baada ya bagamoyo lilifanyika Lindi sehemu zote yalipofanyika makafara umasikini na ufukara lzm utamalakiKumbuka lile kafara la kukimbiza moto.. Ukiacha kafara no 1 la damu kwa ukali linalofuata ni hili la kukimbiza moto
Off point.Mzimu huo unaozunguzia hapa bila shaka chimbuko na asili yake hasa ni Chadema. Ebu fikiria mtu kama Lisu ambae alikuwa na misimamo na kauli zisizoyumbishwa na mtu yoyote,
Kuna mahali uliniambia pia kuhusu hili natamani kujua zaidiKafara la pili baada ya bagamoyo lilifanyika Lindi sehemu zote yalipofanyika makafara umasikini na ufukara lzm utamalaki
Kafara la pili kubwa baada ya la bagamoyo lilifanyika mkoa wa Lindi kwa masharti ni lazm mkoa uliofanywa kafara hilo la kuitambikia nchi uwe masikini yaani watu wake wawe na ufahamu duni.Lindi ndio mkoa masikini kuliko yote tza watu wake wamefungwa ufahamu japo Wana raslimali teleKuna mahali uliniambia pia kuhusu hili natamani kujua zaidi
Kafara la pili kubwa baada ya la bagamoyo lilifanyika mkoa wa Lindi kwa masharti ni lazm mkoa uliofanywa kafara hilo la kuitambikia nchi uwe masikini yaani watu wake wawe na ufahamu duni.Lindi ndio mkoa masikini kuliko yote tza watu wake wamefungwa ufahamu japo Wana raslimali tele
Sina hakikaPale msitu was Ngende
Hizi ndio akili zao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]View attachment 1863212
Kwakweli kila siku nawaza unavyowaza kuhusu hili, kuna vyanzo vingi sana vya mapato Tz kubwa ina kila kitu, Serikali ya ccm badala ya kutengeneza ajira kwa vijana kutokana na rasilimali zilizopo nchini wanaishia kutoza makodi mengi bila ya kuimarisha ajira, inamaa wananchi watawezaje kulipa makodi mengi bila ya vyanzo vya mapato??[emoji23] Alafu utakuta kijana bado anashabikia sjui huwa wametolewa akili ?Hii nchi inahitaji ukombozi wa mara ya pili haiji akilini nchi ya pili kwa raslimali virgin dunia nzima ikawa fukara dhoofu hali watu kufa kwa kukosa 500 ya Panadol,hali mali chekwa kila mahali.
Ukiingia tu porini na sururu unajichotea tu madini nguvu yako na mambo yanakwenda tu.Ardhi bure inayostawi chochote mfano katani,karanga,mtama,Mihogo,kunde,mbaazi bila hata dawa na ukatoka.
Kama sio matambiko yaliyofanyika kutufunga akili huku tukirogwa kupitia mwenge ni nini sasa.
Huwezi tenganisha ccm na umasikini.Umasikini ukipungua na ccm itatoweka.Ni nadra Sana kukuta mtu aliyeelimika akashabikia ccm labda tu kuna maslai anapata.Maana ccm ni muunganiko wa vyama vya kichawi vilivyoungana kumuomba shetani awasaidie kuwaondoa wakoloni rejea matambiko ya mapangoni bagamoyo kupitia shehe yahya, Forozo Ganze na wazee wengine masharti yepi waliambiwa na shetani wakayakubali hadi wakoloni wakafungasha bila damu, Nyerere akudai UHURU bidii ilifanywa na wazee Nyerere alipewa tu udereva lakini hakununua gari.Baada ya kupewa udereva akaanza kuwafifisha waliompa udereva,moto ulipotaka kuwaka baada ya kwenda kinyume nao akawaanzishia bakwata Ili kuwapooza.Huwezi ukatenganisha ccm na umasikini.Umasikini uleta ujinga na mtu akiwa mjinga ni rahisi kudanganywa.Kwakweli kila siku nawaza unavyowaza kuhusu hili, kuna vyanzo vingi sana vya mapato Tz kubwa ina kila kitu, Serikali ya ccm badala ya kutengeneza ajira kwa vijana kutokana na rasilimali zilizopo nchini wanaishia kutoza makodi mengi bila ya kuimarisha ajira, inamaa wananchi watawezaje kulipa makodi mengi bila ya vyanzo vya mapato??[emoji23] Alafu utakuta kijana bado anashabikia sjui huwa wametolewa akili ?