Kuna mwingine anahitaji atm pin?

Kuna mwingine anahitaji atm pin?

ahaaa kumbe ndo maana humu jeiefu kumefurika nyuzi za tafuta thamani ya x,mara ooohh tafuta thamani ya y......dah!!
 
Kasie Leo umenifurahisha sana...kama hutamaindi nakukaribisha iftar leo jioni.

Daaah huwezi amini, ati hii meseji ndo naiona sasa hivi looh.

Sijui ofa ya Iftar bado ipo? Nna dera langu moja na ushungi jipya nililetewa toka Arab uni natumai nikilitinga hilo ntaenda sambamba na wafuturu wengine.

Nisamehe bure, nimekubali hiyo ofa niambie tuu lini nijongee eneo la tukio.
 
Baby look....lacoste!
 
Hhahahahahhahahahhaaaaaaaa

*** him...

Maaamaaaaeeee zakeeee waalaahiii aahahahahhahahahhaa. Huyo ni sawa anakwambia kweeendraaaa huku anakulazimisha ubaki looh.

Ndo maana huwa napenda kujigharamia mwenyewe na kujifanyia mambo yangu mwenyewe. Sitegemei mtu yeyote yule, gharama zangu ni wajibu wangu sio mtu mwingine.

Pole kwa huyo gelofrendii hahahhahaaa, hasa kama alisomea HKL au KLF aahahahahhahaaa

I can see how her face looks like.

Ila hata kama huyo girlfriend hakusoma hesabu au hakusoma kabisa, kwa ulimwengu huu wa teknolojia, unalikopi hilo swali kwenye simu kisha unawatumia watu wali solve kuhakikisha wanapata tarakimu 4. Sasa boyfriend akirudi jioni ndo atashaa kukuta shopping ilifanyika kama kawaida hehehehheeee.
Mmh Kasie nasikia upo single eti huku age ikiwa inakaribia miaka 69.Hizi kasha ni za kweli au nizipuuze?
 
Back
Top Bottom