Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Sasa kama unajua Calculus kwanini usichukue ATM card uende bank ku withdraw mkwanja?
Sijapewa ATM card wala hiyo hesabu ya ku calculate ili nipate PIN number.
My baby boo hana shida ya kufanya hivo, mie siombi mtu hela wala sitegemei kugharamiwa na mtu. Najigharamia mwenyewe na yeye anajigharamia mwenyewe. Siku nikijiskia nampa ofa kiroho safi hata asiponipa ofa wala silalami. Na yeye siku akijisikia ananipa ofa au zawadi au kunigharamia bila kujali kama mie ntamfanyia vivo hivo na tunaelewana na huyu partner wangu.... dadii... vacation spoiler wangu.
Mahaba tuu ndo huwa tunapeana mara kwa mara.
Kasie Mahaba Matata.